Ndugu wanasheria naomba kujua, kutokana na ripoti ya CAG ndani ya chama cha walimu CWT aliibua madudu mengi, naomba kujua nahitaji kufungua kesi dhidi ya CWT mashitaka yangu yanapaswa yaweje na ni mahakama ipi inatakiwa kupeleka kesi hiyo?
Naitwa Mwita Samson Wambura nipo Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga,nafundisha s/m Kiguza ipo mjini,natafuta mtu wa kubadilishana nae aje mkuranga Mimi niende Halmashauri ya ya wilaya Morogoro mjini Kama yupo anitafute kwa namba 0748618064
Yupo mwalimu ila yeye yupo mkuranga mjini kama utakuwa hujapata wa kubadilishana nae wasiliana nami, anafundisha Kiparang'anda sec,mawasiliano 0683736752
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.