habari wakuu nauza iphone 6 plus mbili slightly used kama unavyoziona kwenye picha
iphone ya gold 16gb nauza laki 5 na 80 tu
iphone 6 silver yenye glass screen protector very clean laki 6 na 17...
Nyumba ipo BANGULO karibu na PUGU mnadani
ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni MASTER, dining na sebule,jiko,public toilet na baraza mbili ya mbele na nyuma... BEI ni TSh 39,000,000
UMBALI kutoka...
Laptop aina ya dell inauzwa. ina matatiz y saut maanaake lazma utumie headphone au redio. bei in 170,000. haijatumika muda mrefu.
ukihitaj nichek 0654213122.
npo dar_ mbagala.
Habari!
Afya ni jambo la msingi na muhimu sana ili kuweza kuendelea na shughuli zako za kila siku na kuwa mtu mwenye furaha,na ndio sababu sisi tuko hapa,ijali afya yako ukiwa nyumbani kwa kupata...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Kitanda na Godoro futi 5 kwa sita used.
Bei 220,000/-tsh pungufu tunaongea.
Location: Mbagala Mission
Mawasiliano: 0752659410
Nimeambaanisha na...
Simu aina ya Nokia 2 inauzwa. Imetumika mwezi mmoja tu na ina full documents. Simu pamoja na accessories zake: cover (autofocus), charger USB, ear phones.
Bei 280,000 TZS maongezi yapo kiduchu...
Friji aina ya hotpoint inauzwa dar mbezi beach goba road 370000 laki tatu na sabini tu ipo vizuri mfumo wake wa kupoza ni mkali ndani ya nusu saa ishapoza
0762612213 SMS/call
Projector aina ya...
Ni mashine aina ya Boss!!
Ina hitirafu kwenye Pump( valve zimeungua na zinapatikana kariakoo)
Nakupa na vifaa vyote
Bei 350,000/=
Mazungumzo yapo!!
Sababu ya kuuza!!
Kijiwe kimekufa na sina...
Wakuu nauza printer 4 in one yani ina scan,copy,print na fax kwa shilingi laki 760000, imenumuliwa mwaka jana kwa milioni 3 , hii ni Canon MF i5980dw ni wireless unaweza print bila kuunganisha...
Ninauza samsung yangu tab 4. 180,000 TZS....ina cracka kwenye kioo ila haina tatizo lingine...iko sawa kabisa. Nimeweka bei ya chini coz nahitaji hiyo pesa haraka.
Situmi mikoani..nipo wa azizi...
Salaam humu ndani
Nawaletea eneo lenye nyumba ambayo imefikia kwenye linta imebaki kupiga kenchi tu eneo ni kituo kipya loliondo kibaha maili moja ukubwa Wa eneo ni square meter 25x20 bei yake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.