Mlango unauzwa TSH 300000 wasiliana nasi kupitia 0689344774 au WhatsApp number 0656783090.
TUNAPATIKANA TABORA pia tunachukua Oda kutoka sehem mbalimbali Tanzania.
Iwe toyota/ Nissan/ Suzuki/ Izuzu/ Benz etc.
Kutokana na vyuma kuendelea kukaza, tumekuja na ofa kabambe kwa ajili yako
Karibu kwangu nikuuzie radio mpya za kuona zagari kwa malipo ya awamu tatu...
Habari za majukumu.
Nauza AC ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia unafungua unabeba
Nauza sababu nahama napoishi na baadhi ya vitu sitakuwa na uhitaji navyo...
Nauza kitanda kizuri cha kisasa kimetumika ila bado kina hali nzuri sana. Size ni 5 kwa 6 na kipo Tegeta Kibo, DSM
Mawasiliano 0683-796778 - bei inapoa kidogo.
Meza ndigo ya sebuleni (Coffee table) 60*60 cm mbao ya mkongo inauzwa IPO Arusha bei tshs 100,000/ tu mawasiliano 0621 048817.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi JF
Natafuta cabin / kichwa cha mitsubish canter kwa ajili ya kurekebisha gari yangu canter tipper iliyopata ajali.
Sifa za cabin.
Iwe ni ya canter mayai siyo box
Iwe na dash body complete...
Asaalam,
Kama nilivyojielezea hapo mwanzo, kwa mtu yoyote au mfanyabiashara wa nguo za kiume mjini Dodoma njoo nikuuzie nguo za kiume kwa bei ya DSM. Sababu za kuuza ni kufunga biashara yangu...
Galaxy Tab A mpya haijatumika inauzwa
32GB storage, 2GB RAM na 8MP rear na 5MP selfie.
Bei ni 450k
Mpya kabisa
Location : Ilala, Dar es salaam
Mawasiliano: 0759007696(WhatsApp)...
Habari za weekend, tunauza suruali Aina ya kadeti Zina ubora wa juu, na zinadumu kwa Hali hiyo muda mrefu.
Bei ni elfu 23 kwa Rejareja
Offer ipo kwa mteja ukinunua kuanzia tatu utauziwa kwa elfu...
Kabati lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma.
Ni kubwa na pana.
Kabati Tsh 300000
Ubao Tsh 100000 zipo 2
maelewano yapo
Nipo dar mbez bich...
Wasiliana nasi Partager sur WhatsApp
Sent using...
KABATI NA UBAO WA KUTUNDIKIA NGUO
Lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma.
Ni kubwa na pana.
Kabati Tsh 300000
Ubao umekatwa katikati Tsh 100000, maelewano yapo
Nipo Dar Mbezi Beach
Wasiliana...
Dagaa wa matafuta kutoka ZIWA VICTORIA,TUPO MWANZA mikoani tunasafirisha buree kabsa .
Mawasiliano yetu.
0755213580 Au whattsapp 0755213580.
Kiasi kikubwa na kidogo tunauza..
Karibu sana mteja...
Kwa atakae hitaji pump za solar ninazo mbili ni mpya kabisa hazijawai tumika kutoka kwa kampuni ya Lorentz
Power=1700W
Head=120m
Price @1,400,000
Zipo mbili
Location= Dodoma
Phone: 0715277821...
Nauza kabati ya mbao inafaa kwa biashara kama ya vitafunwa, vipodozi,chips n.k
Nimeitengeneza na kuitumia kwa miezi 3 tu.Utabadili kioo cha juu kimepasuka.
Nauza elfu 35 tu,niliitengeneza kwa...
Projector mpya kabisa inauzwa aina ni Epson, ipo full kabisa.
Nicheki kupitia: 0713349202
Bei ni 600,000,
Ipo Mwenge Dar es Salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.