Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Karbuni sana Artsign Master company Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1998 Toyota corolla for sale.. Cc 1490, MANUAL Transmission.. 180,0000kms..Color white..Very good Condition.. Price Tzs 4.5 million Contact 0717900640 Dar es Salaam
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dagaa wazuri toka Tanga wa MAJI CHUMVI AMBAO hujulikana kwa majina MBALI MBALI kulingana na eneo, Tanga huwaita dagaa uono, dar huwaita dagaa mchele, na mikoa mingine huwaita dagaa nyama...
0 Reactions
3 Replies
48K Views
DStv HD decoder na Dish Lake pamoja na cables na remote yake inauzwa sharp. Bei 70,000. Maelewano kwa alie serious. Whatssap 0785022177 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
#Gardenia89tz Huduma ya utunzaji wa Bustani na Usafi zinaendelea. Kwa wenye uhitaji wa vijana wa Bustani, shamba boy na Usafi wanapatikana. Piga 0711383998 Pugu,DSM For garden and cleaning...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Nauza barakoa. Price: 75000/= per 1 package Zipo 50 pcs ndani ya Package[emoji625] Mahali: Tupo Livingstone/pemba street Kariakoo Mawasiliano: CALLS & Whatsapp: 0714122948 Delivery ipo Ukihitaji...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Habari mwana jf; karibu ujipatie Kitanda cha chuma kwa bei poa ya laki 180,000.BEI ZETU; 3*6 laki 130,000, 4*6 laki 160,000. 5*6 laki 180,000. 6*6 laki 210,000 izo bei ni kwa upande wa Vitanda...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Feni aina ya Evernal inauzwa kwa bei poa kabisa yani sawa na bure. Wala aina tatizo lolote lile na kama ukitaji kufungiwa basi utaongeza elfu 10. Nipo Dar Mawasiliano: 0652868486 Sent using...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tv ya Sony nchi 14 ndogo nzuri kwa kuweka chumbani uondokane na kugombania tv kubwa ya sebuleni. au kwa vijana wanaoanza maisha ghetto. TV hii siyo flat screen. Ni zile za kawaida. Bei elfu...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Habari Natafuta simu aina ya Samsung S6 edge Plus yenye storage yoyote Muhimu iwe clean na isiwe na shida yeyote ile iwe inapiga kazi vizuri. Uwe Dar es salaam / Offer Yangu Ni Tsh 250,000/=...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu Mohamed, Salaam kutoka Dar es Salaam. Tunatumai uko mzima. Tuna furaha kukujulisha kuwa kile kitabu cha wasifu wa Mwalimu Nyerere tulokuwa tunakiandika sasa kimeshachapishwa. Ndugu Mohamed...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Movie nzuri utakazozipenda zilizotoka mwaka huu: 1.I CAN ONLY IMAGINE - Hii ni Movie yenye historia ya kweli ndani yake ambayo inamhusu kijana mmoja aliyekuwa anatamani kuwa muimbaji wa nyimbo za...
3 Reactions
22 Replies
10K Views
500GB External HDD inauzwa ipo Tabora mjini hapa Ipuli. Ni mpya kabisa imefunguliwa ili kuwekwa movies tu. Bei yake ni 75,000 tu. Mwenye uhitaji aliyeko Tabora anicheki kwa namba 0621448149
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imetumika miezi 5 Lumens 1800 Contrast 2000 Native resolution 480 p Display screen inch 40" Hadi inchi 170" Ina zaidi yA masaa 20,000 ( Kama utaitumia masaa 10 kila cku utakaa nayo miaka 12 Bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Ninauza Gari langu aina ya Suzuki Carry/ kirikuu , Gari ni nzuri sana haina shida yoyote , inaendeshwa na kufika mkoa wowote , haijawai kufunguliwa engine wala gear box. Ina...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Nauza tv aina ya Moelectro kwa 290, 000/=tu, nipo Kigamboni Dar whatssap au piga 0655547822, haina tatizo lolote used 6 months, nimekwama that's why naiuza
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunatengeneza na kuuza mashine za kuchoma chuma na kuchaji betri za magari. Mashine zetu ni imara na zina garantii ya muda mrefu. Tuna uzoefu wa kazi hii takriban miaka 20. Bei zinaanzia 280,000...
1 Reactions
8 Replies
10K Views
Ubovu wake *Battery *Keyboard *Kujizima. (kwa sasa tangu izime haiwaki) Bei: 100,000 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…