Habari wana JF,
Natafuta mbwa wa kununua, aina ya ROTTWEILER au DOBBERMAN mwenye umri wa miezi 10 hadi mwaka mmoja na miezi mitatu. Awe na card yake inayoonyesha amechomwa chanjo.
Kwa...
Futi tano kwa sita lipo katika hali nzur lakisasa na lahisi kuamishika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mawasiliano
0714175498 whatsup
0787540046
0756375498
HABARI MPYA YA MJINI!!!
GARI LAKO SASA LINAWEZA KUTUMIA GESI ASILIA
Utangulizi:
Taasisi Tecknologia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na wadau wengine wa gesi asilia tunaongeza mfumo wa...
Nyumba ya kawaida yenye eneo kubwa inauzwa maeneo ya kipunguni B(moshi bar).ukubwa wa eneo ni (mita 25 kwa mita17). Lipo mbele kabisa na barabara ya mtaa na pia lipo mita 350 kutoka barabara ya...
Nahitaji tecno spark 4,spark 3 spark 2 ,camon 11, au tecno yoyote ,infinix au samsung a10 nipo moshi na uwe moshi au arusha kama unayo nichek njoo pm tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
SOLD
Nauza vitanda futi 5 kwa 6, mninga.
Bei ni sh 85000 kwa kimoja.
Vipo Sinza
kwa atakaye hitaji tuwasiliane 0625758699.
Sent using Jamii Forums mobile app
Africana Extra Virgin coconut Oil ni mafuta halisi ya nazi, hayachemshwi kwa hiyo yametunza virutubisho vyake vyote muhimu kwa afya ya ngozi, nywele na mwili mzima.
Unaweza Kupaka, Kupikia pia...
OFA YA MWEZI RAMADHANI.
Piga 0674 344 436.
Jipatie Mbao za kupaua zenye dawa Kwa Bei poa ya punguzo la 15% na kupata usafiri Bure mpaka sait.
Pia Utapata mabati imara ya rangi (msauzi) Kwa Bei...
Nahitaji tecno spark 4,spark 3 spark 2 ,camon 11, au tecno yoyote ,infinix au samsung a10 nipo moshi na uwe moshi au arusha kama unayo nichek kwa namba 0759 432 654 au njoo pm
Sent using Jamii...
Tecno Spark4
Ina Camera tatu nyuma na moja mbele, Face lock na Finger print.
Ram 2GB
32GB
Tsh. 200,000/=
Simu Ina mwezi moja na nusu kwaiyo bado mpya Wala haina mchubuko hata moja.
Nipo DSM. Simu...
Habari wakuu! naomba mwenye kujua hizi cable zinauzwa wapi mji wa Dodoma pia duka lipi kama ataweza nipa uelekeo .
Nb: Cable tu za kuunga External hdd na pc, itapendeza kama ukiwekamo kabei(ikiwa...
Ni gari imetunzwa vizuri Sana
Ni six ndefu box body no C
Inapiga kazi jijini Dar
Mawasiliano: 0758088152 s
Sihitaji dalali, mimi ndo mmiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba tuelewane hapa kwanza,
Biashara ya sasahivi imejaa ushindani mkubwa sana, bila shaka bidhaa/huduma unayouza mteja anaweza kuipata sehemu nyingine bila wasiwasi wowote mfano viatu, chakula...