Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza kuku na mayai ya kienyeji. Bei: Mayai trey 12000 kuku jike13000 jogoo 14000 ukichukua kwa wingi bei inapungua. Mahali: Nipo Dodoma, ila popote natuma. Mawasiliano: 0620186781 Karibuni
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Je, wewe ni mmiliki wa shule, Kampuni binafsi au NGO, Je, unahitaji kujipatia huduma mojawapo kati ya hizi au zote kwa pamoja? Websites, Android Apps, Domain Names, ERP system Accounting system...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Fremu hizo moja 25,000/= ukichukua mbili 40,000/= Fremu za A4 ni 15,000/= Unafikishiwa Hadi nyumbani. Lakini pia Kama unahitaji fremu ya picha tofauti na hizo. Unasema tunakutengenezea...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Nahitaji machine ya kukata nyama (meat saw) kwa mwenye nayo wasiliana nami 0746 386 205
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, heshima kwenu, tafadhali naomba nisaidiwe kujua maeneo ambayo ninawwza kupata vocha za jumla za mitandao ya Tigo na za airtel. Nilipata za voda zinazouzwa 500 nilipata kwa 450 na zile...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sehemu :Bamba,Mwongozo Kgamboni, kimepakana na nhc ukubwa : 632sqm, umiliki : Kina hati Barbara inafikika mpaka kwenye kiwanja tambarale, kilomita chache mpka bahari ya hindi bei :17M mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Unahitaji mashine ya kukatia nyama au samaki najidakia store tunakuletea zikiwa imara na ngumu TUPIGIE 0779593460 Unapewa warant ya mwaka mmoja gharama ya mashine ni millioni moja na laki tatu tu...
0 Reactions
43 Replies
13K Views
HABARI Najidakia store tunahusika na utengenezaji pamoja na uagizaji wa mashine mbalimbali kutoka china ofisi yetu inapatikana kariakoo mtaa wa msimbazi na store yetu ipo ilala TUNAUZA MASHINE...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mzani bomba kwa ajili ya biashara(duka, bucha, jiko n.k) unauzwa..umegongwa muhuri wa mwaka mzima, unapatikana na jiwe la kilo 2,kilo 1,nusu na robo...mpya dukani ni 120,000 mimi nauza Tsh 70000...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Ipo Arusha moshono Ni kubwa ina fens Ina vyumba nane kwa vinne.yani kila chumba na seble. Na chumba kimoja ni self yan chumba seble na choo ndani Ina tyres nyumba nzima Ina umeme na...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi bila shaka Mungu anaendelea kumpigania kila mmoja wetu kwa namna ya pekee! Niende kwenye mada moja kwa moja, ni hivi baada ya kuingia mzee baba nilishindwa kuendelea na biashara...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Naitwa max Fernandez nipo DSM nahitaji mtu wa kushea naye biashara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Hope ur well Nina fanya biashara ya car wash sinza....nimekua nikipata changamoto sana ya pressure washer hizi za kichina kufa kufa hovyo hasa rubber zake na vifaa vyake vya...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Picha za ukutani zenye upana wa 30 cm na Urefu wa 40 cm , au unaweza kusema A3. Gharama yake 25,000/= A4 ni 15,000/= Ukitaka picha yoyote ya ukutani special for you, pia tunakutengenezea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana, Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu sehemu gani naweza kupata airbed. Nitashukuru nikisaidiwa na bei yake
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Habari zenu, mwenye uzoefu na hizi machine za kufulia nguo, nahitaji kununua machine ya kufulia mwenye kujua, kampuni ipi ni nzuri, zenye uzito gani ni nzuri, na kadhalika sio ya kufanyia biashara...
3 Reactions
13 Replies
8K Views
Habari mwana jf, Karibu ujipatie magodoro kwa bei zifuatazo; NITAANZA BEI YA GSM; 3X6 inch 6 ni 90,000. 4x6 inch6 ni 130,000. 4x6 inch 8 ni 170,00. 5x6 inch 6 ni 145,000. 5x6 inch 8 ni...
3 Reactions
24 Replies
68K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…