Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu Eneo lipo mtaa wa Pinda, Dodoma mjini. Bei ni Tsh...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
Habari wakuu. Eneo Linauzwa Goba Half London. Umbali Hadi barabara kuu ya Lami ni Mita 600 Sqm 3000 Hati Safi (Title Deed) Bei milion 300 Piga simu 0754693556
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
0 Reactions
6 Replies
540 Views
Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI Eneo ni sqm 1700 Price; Million 6. Hakina udalali. Huduma zote za kijamii zinapatikana. Kwa mawasiliano; Njoo PM
2 Reactions
14 Replies
832 Views
#industrial Plot number 729 Block 'A' CBD ina sqm 8,912 Plot number 730 Block 'A' CBD ina sqm 7,056 Jumla ya eneo lote sqm 15,968, Located at Kibaha industrial area zone , Bei yake 1.2...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Kiwanja chenye ukubwa wa Ekari 4 Kinauzwa. Kiwanza Kipo Mbutu-Kichangani (Kigamboni).Kiwanja Kipo karibu na Shule ya St Lucas ( Barabara ya kutoka Mbutu Kichangani Kuelekea Amani Gomvu/ Avic Town...
1 Reactions
1 Replies
491 Views
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Habari wakuu nauza kiwanja kipo tegeta. kimezungukwa na huduma zote za kijamii kama vile kituo cha polisi cha tegeta mita mia kutoka kituo hiko. pia kimetazamana na chuo cha MZUMBE na shule ya...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za majukumu wapendwa Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi Eneo lina hati ya...
7 Reactions
98 Replies
4K Views
• Direction: Mbweni Mpiji • Structures: hamna jengo ndani yake • Facilities: maji, umeme jirani, • Plot Terrain: tambalare; hapatuamishi maji • Plot Area: Sqm 900 • Document: hati...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Kipo karibu na chuo cha kilimo ukubwa ni 20×20m bei Mil3 maongezi yapo Cc: Kalaga Baho Nongwa
5 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari wakuu nimerudi tena nauza viwanja vinne 4 eneo ni Nzuguni unapojengwa uwanja wa mpya wa mpira.kwa wale niliowai kuwauzia wanapajua vizuri Huduma zote zipo Umeme, maji , barabara lami...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Naomba wale woote mloomba niwape taarifa viwanja vya Manispaa Kibaha vikianza kuuzwa. Taarifa Rasmi vimetangazwa tu, na kuisha ,Viko kando ya hospitali ya Wilaya, Kama unatokea Mbezi ,Ukifika...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Kina hati Bei Tzs 35 milioni (Maongezi yapo) Umeme upo Karibu na Barabara ya lami ( km 500m)
1 Reactions
7 Replies
465 Views
Plot For Sale. Location: CCM st, Kahama road, Masaki. Size: Sqm 1500. Price: USD 1.8 Million. Document: Title Deed. Contacts: 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
0 Reactions
10 Replies
830 Views
• Direction: Kwa Komba. Mita 800 kutoka Morogoro Road • Structures: -Kwa nyuma kuna nyumba sefukontena ya vyumba 3 vya kulala -Kwa mbele jengo lisilokamilika lenye master 4 • Facilities...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Habari ndugu, Kwa wale wanaovutiwa kuwekeza katika kilimo, Ndani ya mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe, Tarafa ya Lupembe, nimewaletea mashamba mahususi kwa dhumuni hilo. Kuna jumla ya ekari 400...
1 Reactions
0 Replies
300 Views
Hellow hope everyone is good. Leo nawaletea fursa ya kuwekeza dodoma. Hakuna uwekezaji mzuri kama wa ardhi maana kila siku inapanda thamani ukilinganisha na kuhifadhi fedha bank. Dodoma ni mji...
6 Reactions
7 Replies
585 Views
Ndugu wana JF habari ya majukumu? Napenda kutoa taarifa juu ya kusudio la kuuza kiwanja namba 10 D-centre Mwangaza lililopo Dodoma mara tu baada ya kukamilisha upatikanaji wa Hati ya eneo hilo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
• Direction: Mogo (Majumba Sita), Old Segerea Road. 300 meters off Nyerere Road and 1.5 km to Airport • Structures: jengo la kuvunja na vyoo vya nje • Facilities: upande mmoja flyover na...
0 Reactions
4 Replies
433 Views
Back
Top Bottom