Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kuelekea pasaka Pata mchele safi kutoka mbeya wenye viwango vya Ubora, Weka order yako sasa tukufanyie delivery Mchele safi kuanzia 1500 mpaka 2000 kwa kilo Piga 0715169679
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sim bado mpya Haina mchubuko wowote Battery healthy 91% 128gb Price 800,000/= cach Location DSM Contact 0625825641
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Maelezo Zaidi: 0716442950
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naitwa SAM. Nafundisha Computer Applications ( Computer Basics,Maintanance,Excel,Word,Power point,Publisher,Internet & Emails) & Computer Maintanance(Repair, Windows Installation...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalamu. Nipo mkoa jilani na Dar huku kuna fursa ya upatikanaji wa maziwa kwa wingi. Nahitaji mtu mwaminifu ambaye naweza fanya naye kazi walau aweze kuchukua litre 200 kwa kuanzia per day.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa. Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Wana jukwaa Natafuta kiwanja BAJETI 2.5M, maeneo ya kibugumo Kigamboni,
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mahali: Mbezibech Shule Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi Nyumba ina vyumba viwili, choo cha public ndani, na Sebule. Haina jiko ila ina kibalaza unaweza kutumia kupika. Maji ya dawasa yapo, parking...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Chumba na Sebule, Choo cha nje. Mahali: Mbezibeach Kwakomba. Bei: Tshs 100,000 kwa Mwezi. Ina: Fensi ns geti, Maji ya dawasa masaa 24, Parking ya Usafiri, Dakika nne kwa mguu hadi kituoni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Vijana mliopo mitaani na wale ambao mmemaliza vyuo vikuu lakini bado hamna kitu cha kufanya tunawakaribisha katika mafunzo ya ufundi pikipiki kwa mda wa miezi miwili ada ni laki mbili... Elimu ya...
3 Reactions
6 Replies
6K Views
Hii hapa, Chumba choo ndani, Sebule pamoja na jiko. Ina Fensi, Maji ya dawasa, parking. Bei Tshs 200,000 Kwa Mwezi Piga: 0716442950
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Dell Alienware Alienware 15 R3 [emoji89] PROCESSOR / CHIPSET CPU: Intel Core i7 (7th Gen) 7700HQ / 2.8 GHz Max Turbo Speed: 3.8GHz Number of Cores: Quad-Core 64-bit Computing: Yes Features: Intel...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Viwanja vipo Dar es Salaam Kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha Kigamboni College of Health and Allied Science, mita 35*35 Bei Mil 5.5 Karibuni sana
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema nipo tayari kulipa 10,000 kwa siku na biashara yangu ikichanganya tunaweza kuongeza dau. Machine iwe kwenye hali nzuri inayotumia umeme wa nyumbani. 0624792393
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
INAPANGISHWA NYUMBA Nyumba ya Vyumba 3 (1Self), pamoja na Sebule, jiko na Choo cha Kuchangia. Nyumba ipo yenye kwenye uzio. Mahali: Mbezibeach Samaki, nyuma ya shamo tower. Upande wa Kulia kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
APPLE ARTISTS GROUP[emoji327] Inawatangazia kwa wasanii ambao wanapenda kufanya sanaa ya uhigizaji na wasio wasanii ambao wao nao wanapenda kuigiza Tunaitaji wasanii watakaopenda kujiunga na sisi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nakaribisha wateja Wa kutoka mikoani ,kuwa nauza karanga kwa bei ya jumla kabixa kutoka Urambo tabora,kwa Mteja Wa dar tunamfikishia mzigo ndio anatoa hela,au akipenda analipa kabixa,mikoa mingine...
0 Reactions
18 Replies
52K Views
Habari wakuu Ninauza Mashine nzuri simple ya kuua Mbuu Namna ya kutumia mashine hii Utaitumia wakati wa usiku unaingia chumbani kwako unazima taa funga mapazia chumba kiwe na Giza Chomeka hiki...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…