Habari waungwana nina milioni 1 cash nataka laptop yenye uwezo mkubwa kwa kazi za Graphic Design.
Sifa ya kwanza iwe na SSD. Kwa mwenye nayo anishushie spec hapa chini, nitakayoikubali naichukua
Wakuu samahani sana kwema!
Wapi naweza pata zile boyfriend jeans za mtumba za kina dada.
Wandugu napata wapi kiwepesi ziwe za kupoint kwa wenye mabalo msaada wenu tafadhali nina uhitaji nazo...
ELECTRONIC HEALTH RECORDS SYSTEM
FEATURES
PATIENT DEMOGRAPHICS
Track patient demographics
Primary information (name, date of birth, sex, identification)
Marital status
Contact information of...
Wakuu habari, nauza mafuta ya Nazi kwa kupikia, ni mazuri sana hayajachanganywa na chochote. Lita ni Elfu 30000/=
Mawasiliano 0655800252
Unaletewa popote ulipo Tanzania
Habari wadau wa JF. Natafuta suppliers wa mafuta halisi kabisa ya nazi (coconut oil). Ingekuwa vizuri kama unazalisha mwenyewe. Pia mafuta hayo lazima yawe kwenye quality ya juu kabisa na yasiwe...
Mazda ya 2008,
CC2000,
KM 122000,
Full AC,
Insurance hadi February 2022,
Tairi zote nne mpya zikiwa na sports rims,
Full music system ikiwa na subwoofer ya 1800wts,
Aplefire,
Android na...
Habari ndugu, nina miaka 24, elimu yangu kidato cha sita, pia ni dereva nina leseni inamadaraja yote isipokua c kavu, nahitaj mwenye kujua boss au connection gar la uber/bolt naombeni msaada wanu...
Nakumbuka mwaka 2014 wakati nafanya biashara ya mtandao na kampuni moja kubwa tuu nilikuwa napata shida sana ya kuweza kuongea na wateja niliokuwa nawapata kupitia simu yangu.
Unakuta unapata...
IST,
YOM: 2004
CC 1290
COLOUR:
silver
Engine iko poa
Some small scratches kwenye body hakuna changamoto zaidi.
karibu tumalize biashara: 0683011003
0683011003
Habari wanajamvi.Nilikuwa naomba msaada kwa yoyote mwenye namba ya agent wa freedom stationary kwa upande wa Tanzania au hata kama ukinipatia location ya ofisi zao kwa hapa Tanzania nitashukuru...
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa jijini mbeya. Maeneo ya Isyesye na Iwambi Maeneo ya karibu kabisa na City Center.
Viwanja vipo vya matumizi mbalimbali kama vile makazi, makazi biashara, na biashara...
Kiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado.
______
Update
Njoo ulipie 15mil badala ya 22mil
Picha yake...
Habari ,ninauza mchele super kwa 1700, hakuna haja ya kuuchambua ni wakuosha tu na kupika ,pia unanukia na kuchambuka vizuri ukipikwa.Ninakufikishia mzigo kokote ndani ya dar es salaam kuanzia...
Shamba limelimwa mara mbili ni safi
hati ipo ya kimila.
kila eka ni laki 5 na nusu
MAELEZO YA SHAMBA
wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar Masaa ma4...
Habari Wakuu!
Nahitaji Gari (SUV) preferred Toyota Rav4 J (zinajulikana zaidi kama Kill Time) au Nissan Xtrail..
Sina Cash ya kulipa kwa pamoja but nina uwezo wa kutanguliza 4M kwanza then niwe...