Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini, nauza fremu kubwa nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea opposite na stand tsh milioni 12.5. Sifa zake: *Fremu imelipiwa kodi ya mwaka mmoja Kwa bei hiyo unapata mzigo wa kutosha wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF. Ninatafuta duka linalouza perfumes za ndan ya nyumba na chooni. Nahitaji zile ambazo nadhan zinatumia kama batteries hivi. Kila baada ya muda fulani ina release perfumes. Hizi huwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Dell Latitude d610. Hard disk 320GB Duo core. KWANINI NAIUZA?: a)- haiwaki tatizo linaweza likawa ni RAM ( Inatumia RAM DDR2) b)-sina adapter yake. (Sijaipeleka kwa fundi kuifungua...
0 Reactions
4 Replies
671 Views
Ina vyumba 3 kimojawapo ni self,public toilet,jiko,dining room,sebule.Hati ipo,uwanja uliobaki unaweza kujenga nyumba nyingine kama hii. Bei 22m Maongezi zaidi au kuja kuiona wasiliana nami kwa...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu anyone anaedeal na Gypsum stones ya Itigi Singida nitashukuru nataka kujua mawili matatu kutoka huko.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari.. Nahitaji mbuzi majike , wawili kwa ajili ya kufuga Location: Nipo Kimara, Cont: 0716 473605
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Urgent pls Nimejikusanya na kupata chenji kidogo, sitataja kiasi lakini haipungui tsh. 3 milioni. Naomba mniunganishe na dalali au site zenye gari used za bei rahisi nahitaji kausafiri msimu wa...
1 Reactions
3 Replies
997 Views
vipi wazee mwenye nayo naweza pata ist namba D offer yang 6000000 namba C offer yngu 5500000 cc 1200 &1300 nipo dsm 0768621981
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama nilivyojieleza hapo juu mwenye kuuza hizo pampu naomba anicheki tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Naomba kuuliza Kama Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe, natokea lushoto tanga, habar
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6. Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo)...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Natafta wateja wa jumla wa mahindi kuanzia gunia hamsini na Bei ya mahindi ni 5000 kwa debe kazi yangu ni kumkusanyia atanilipa elfu moja kwa kila gunia na gharama za usafirishaji ni juu yake so...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania. Habari ndugu, jamaa na marafiki...!! Naitwa Enock, napatikana Mbezi Louis(Mbezi ya Kimara). Mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa za aina tofauti...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Nahitaji antena ya bampa ya toyota noah,road tourer,,whatsapp yangu ni 0734155701,nipo Dar
1 Reactions
1 Replies
514 Views
Ni aina ya net ambazo zimekuwa pendwa kwa watu, Hii ni kwa sababu ya muonekano wake maridadi na pia, Ni net ambazo ni rahisi kuinstall na ku-uninstall (Kuiweka na kuitoa) Zipo size 5*6 na 6*6...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji mtu ambaye anauza mayai kwa Bei ya jumla. Nipo Dar es salaam. Nahitaji kufungua duka la mayai
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Toyota Sienta|2003 cc1490 | 2wd | Other option-AW ABS PW •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bei--9.4mil [emoji338][emoji336]0715558258
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Kama tunavyojua afya ya jamii ndo msingi wa maendeleo ya taifa,pia ili familia iwe na afya bora ni muhimu familia kupata lishe bora na kamili. Basi kwa kutambua hilo,tunakuletea bidhaa...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…