Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta bulldog Wapi nitapata? Nikikosa bulldog Basi mbwa Kama huyu. Call 0655173113
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini wakuu nauza taa zenye muonekano wa piano bei Tsh 20,000 NIPIGIE 0688393663 Nzuri kwa ndani, urembo ofisini, kwa ajili ya zawadi or awards,
0 Reactions
2 Replies
615 Views
wanajamvi habari zenu Mimi ni kijana ambae natafuta wateja wa Asali Asali hii ni ya tabora kwa wanaojua au kusikia kuhusu asali ya tabora wanajua ilivo haina uchakachuaji wowote ni asali halisi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta gari VITS new model Namba D Cc 990 Full AC Isiwe imepata ajali wala kuguswa engine. Bajeti yangu mil 5 Nicheki PM sasa hivi nikufate ulipo.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji Wireless Mic ya kununua ya Bei nafuu kwaajili ya Online TV.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Toyota Crown Year:2005 EngineCC:2500 Price 8,800,000/= Call/what's app 0626409908 dsm
1 Reactions
2 Replies
1K Views
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU" BIASHARA ZETU NI ZA ANA KWA ANA NA SIYO MTANDAONI. LAZIMA MTEJA AFIKE OFISINI NA SHAMBANI (1) Tunao mitamba ambao hawajapandwa ila waweza pandwa...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Kwa gari za pori Toyota hilux, land cruiser tairi hzo size 15, used zinauzwa, zipo Dodoma. zote 4 kwa laki 6 (tsh 600,000) No ya simu 0716226603
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba ina vyumba vinne viwili master , sitting, danning na jiko . Nyumba ina uwanja mkubwa Na ipo karibu na barabara ya rami dk 5 Nyumba ina fence ya kuingiza gari Bei milion 65 Maongez yapo...
2 Reactions
0 Replies
770 Views
TV CHOGO NCH 21, kwa 70,000 brand phillips haina shida inafanya kazi vizuri location Ilala Bungoni Kochi hili kwa elfu 80: KIMARA DSM
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauza trekta, Massey Ferguson MF 185, 2WD, HP 75. Bei ni 18M (Mazungumzo yapo) Na jembe pia lipo. disc 3 bei ni 2.5M. 0719070130 Whatsapp & Normal Call Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Laptop aina ya Hp G4 inauzwa bei chee kabisa Processor Core i5 7th generation RAM 8 Gb HDD 1Tb Iko na GPU na Ssd slot Bei TSH 540,000/= Mawasiliano +255624852155 Location kwa sasa ipo Dar.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kichwa hapo juu kinajieleza wakuu. Nanunua Tsh. 300 kwa kiroba, njoo tufanye biashara, nipo Shinyanga
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana JF Naulizia bei ya mashine ya kushonea viroba vya unga na pia naweza kupata wapi viroba vya unga kwa bei ya jumla na unachukua kuanzia vingapi Ningependa kujua kuhusu kuprint viroba...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nauza mafuta ya kupikia ya mawese kwa anaye hitaji be ni Tsh 3,000 lita moja Tsh 1500 nusu lita Tsh 800 robo lita
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hii jukwaa ni kwa ajili ya TV used pekee Mtu umenunu TV yako baada ya mda kidogo unataka kuuza kutokana na shida za apa na pale Najua bei zitakuwa afordable kuliko kwenda dukan Binafsi natafta...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Gari halina shida yoyote Ni rangi tuuu inaweza ikarudiwa ili gari iwe Bora zaidi Bei 4million Kwa mawasiliano nivheck whatsaup kupitia 0692235221
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, nauza pikipiki used imetembea kilometa 9,705 Ina kadi na bima. Nipo Dodoma
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za kazi wakuu, Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, Ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
salam za amani wana jamii, Nauza Scania za mwisho mwisho, kila moja mil 37 C&f, ushuru unalipa mwenyewe. Karibuni sana Scania114/380 Year 2003 Engine Cummins WhatsApp Nr +255675308774
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…