Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Closed
3 Reactions
14 Replies
987 Views
Habari za Jumamosi; Wengi wameathiriwa na machaguo wanayofanya katika safari yao ya kitaaluma.Madhara hayo wameyapata ama kwa kufanya vibaya katika mitihani mbalimbali,kukosa ajira/fani au hata...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za Leo wanafamilia? Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro. Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Samahani wana JF naelekea njombe naomba msaada wa bei za nyumba za kupanga likizo karibu na hospitali ya mji wa njombe(mkoa)
1 Reactions
3 Replies
2K Views
HOT Gun mpya ,inafaa kwa matumizi mbalimbali hasa uchorajinwa picha kukaushia picha ,lkn kukaushia vitu vilivyoingia maji hasa electronics LOCATION ,BAGAMOYO Bei ni 50,000 SIMU :0733283372
1 Reactions
1 Replies
683 Views
ni mpya kabisa ,inatumia betri triple A ,ina light pointer red ,kwa ajili ya kufanyia presentetion ,au kufundishia haibagui computer yoyote BEI NI 80,000/- LOCATION BAGAMOYO SIMU 0733283372
1 Reactions
1 Replies
493 Views
Machine ya dignosis kwa ajili ya magari inasaport bluetooth , unaweza kutumia kwenye SMART ,TABLET(ANDROID) AU COMPUTER (WINDOW) NI MPYA KABISA PIA KUNA BRAKE FLUID TESTER VYOTE KWA PAMOJA...
1 Reactions
3 Replies
872 Views
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinovyo jieleza nahitaji Frizer kubwa na ndogo,au ata friji ikiwa ndogo hamna shida . kwa mwenye nayo naomba tukutane Pm asante
1 Reactions
5 Replies
893 Views
Nyumba iko mkoa wa kagera ina Umeme na maji hadi ndani.. Ina Kiwanja kikubwa sana. One bedroom in self contain ilhali kingine ni bedroom ya kawaida. Ina kitchen, dining and living room. Ina...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Iwapo hujalizishwa na matokeo ya mwanao kimasomo na ungependa, afanye vizuri zaidi basi usipate shida. Tupe nafasi tuzungumze nae kupitia namba yetu hii 0756325414. Mungu akubariki. Tupo Dar es...
2 Reactions
13 Replies
887 Views
Nauza vitabu ya course ya udaktari Kwa wale wanafunzi wa medical doctor Vitabu hivi vitawapa sana madini Niko dar es salaam Contact 0657710078 Bei maelewano
2 Reactions
2 Replies
1K Views
App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti Unaweza kufanya yafuatayo Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Nahitaji msaada wa nyavu za uvuvi anaejua chimbo la nyavu Kariakoo msaada wake unahitajika,nahitaji location ya maduka yalipo Shazunguka sana naona natokea nilipoanzia mara maduka ya nguo mara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba ipo mwembe mdogo Ina vyumba vitatu kimoja master sitting room jiko na public toilet Bei milioni 35 njoo na ofa yako 0787672719 0713672719
1 Reactions
0 Replies
949 Views
HAINA CHANGAMOTO YOYOTE 0713096076 IKO DAR
1 Reactions
0 Replies
551 Views
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauza kitanda mbao aina ya mninga cha ukubwa wa 6x6. Nmekitumia kwa muda wa miaka minne sasa. Nakitoa kwa bei ya kindugu kabisa na mwingine akaanze maisha. Napatikana mtoni kijichi mbagala kuu...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…