Habari
Natafuta chumba cha kupanga Arusha, maeneo ya Moshono au Njiro.
Kiwe chumba kimmoja ambacho ni self , kiwe kina nafasi na jiko dogo
Chumba kiwe katika mazira masafi yenye ulinzi na...
Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali.
Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato...
Habari,
Mwenye kreti tupu za bia na soda kampuni kampuni Coca, pepsi, SBL na TBL nahitaji.
Zingatia bei za kreti kwenye magari (wasambazaji) ni 10k so make sure bei zako zipo chini ya hapo...
Salaam. Mdau mjuvi na mpenzi wa mafanikio ya binadam mwenzie anisaidie kupata mteja wa vanilla wa uhakika hasa wa nje kuanzia kg 100. Na haizid kg 150.
Tunasafisha na kung'arisha masink ya choo pamoja na marumaru zenye uchafu sugu zilizofubaa Yaani kushindikana kabisa na kurudi kwenye Hali yake ya upya kwa kutumia dawa na vifaa maalum.
Tuna...
Tunasafisha na kung'arisha masink ya choo pamoja na marumaru zenye uchafu sugu zilizofubaa Yaani kushindikana kabisa na kurudi kwenye Hali yake ya upya kwa kutumia dawa na vifaa maalum.
Tuna...
Habari!
Natafuta milango ya vioo ya ku slide kama inavoonekana kwenye picha. napatikana Dar es Salaam, kama unafaham wapi naweza kupata tafadhali nitashukuru ukinielekeza.
Make : Mercedes
Model : Benz E - Class
Mileage : 96,439km
Engine size: 2,590cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2003
Doors : 4...
Mwaka 2022 unagawanyika kwa mbili. Ni mwaka mzuri. Usikubali ukaishi maisha ya dhiki na kutofurahia maisha. Unafanya kazi ili iweje kama huwezi kutenga siku kadhaa za kufurahia maisha?
Dhamiria...
habarini wanajamvi!? naulizia ni wapi wanapouza hizi manual heavy duty blender( brenda) ambayo haitumii umeme kama hiyo hapo pichani.
Achana na hivi vidogo vidogo vinavyouzwa na wamachinga...
Karibu ATEB TECHNOLOGIES tukuunganishie wireless internet isiyokuwa na kikomo kwa matumizi ya majumbani na maofisini.Tunauza huduma ya internet ambayo ni yenye speed kuanzia 1Mbps-100Mbps.
Kwa...
Toyota premio
engine 7A
full ac
bei 4.5
kwa mahitaji ya kuuza au kununua gari yako tafadhali wasiliana nasi ili tukupatie wateja na huduma ya haraka tupo ilala na tunafanya kazi siku zote za week...
Hodi wakuu!
Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
kwa yoyote anayeuza...
Toyota Land Cruiser Prado ambayo kwa kiasi kikubwa ni imetumika kwa misele ya Dar es salaam tu ingawaje mara chache sana ilikuwa inapiga trip za mkoa. Gari ipo safi kabisa, ni wewe tu kuchukua...