Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Lipo DSM,Wilaya ya Ilala,Kata ya Msongola,Eneo la Mvuti,lipo KM 2 Kutoka Barabara ya Chanika Mbagala,halijapimwa,lipo kando ya Barabara ya Mvuti Dondwe,lipo karibu na Sekondari ya Mvuti na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kipo Km 5 toka katikati ya mji kipo Block M SQ M 799 kina hati kabisa bei ni 8.5 Mill kwa mawasiliano piga no 0622-027490.
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Habari wana Jf ninashamba langu mwenyewe binafsi sio dalali ninaliuza. Mahali lilipo shamba ni mkoa wa mtwara, wilaya ya masasi katika vijiji vya mikangaula. Ukubwa wa eneo ni ekari 25. Bei ni...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kibada mitaa ya kwa Hussen Mwinyi Size: mita 25x25 Price:8.5 11 km toka ferry ______________________________________ Mob/wtsp/sms:+255718295182 Call/sms:+255 753254562/+255 625 480 963...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Kipo Chanika Shelaton Size: mita 35x35 Price:5mil Mita 800 from main road Mob/wtsp/sms:+255718295182...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 maelewano yapo.. kipo mbezi luis njia panda ya kwenda goba kuna lami na umeme, eneo ni tambalale kinafaa kujenga nyumba bila garama ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kibada 20x30m=mil 20 ([emoji593]km 11 toka ferry) Kisarawe II 20x30m= mil 9 ([emoji593]km 17 toka darajani) mbutu Bichi 20x30m=mil 9 Mwembe mdogo 500sqm =7mil Lingato 20x30m=mil 9...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Viwanja Vyote Vina Hati ,Vimepimwa Na Wizara Ya Ardhi Pia Vina Barabara KIBADA shangwe 1Sqm@ 35,000Tsh/=.(11km toka ferry) KISARAWE II 1Sqm@15,000Tsh/=.(17km Toka Darajani.) BEACH PLOT...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
*HABARI NJEMA* VKP (Real Estate) Company (yenye usajili no. *299964*) iliopo mbezi beach tang bovu ina huduma zifuatazo; kukopesha mashamba na viwanja kwa bei nafuu bila riba wala dhamana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kipo eneo zuri maji ..barabara na umeme ni uhakika..kipo eneo la kisasa radio mwangaza Dodoma mjini..kina square mtre 2800 ..bei yake ni 30 million top..call/watsapp kwa maelezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja Vyote Vina Hati ,Vimepimwa Na Wizara Ya Ardhi Pia Vina Barabara ____________________________________ KIBADA shangwe 1Sqm@ 35,000Tsh/=.(11km toka ferry) KISARAWE II...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Offer ya kiwanja kwa siku tatu tu Mwembe mtengu kwa shillingi millioni moja na laki mbili ukubwa wa miguu 27 kwa 23 ila hati bado haijatoka ina makabidhiano ya serikali ya kijiji...mwenye...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Nauza kiwanja jijini Mwanza kipo maeneo ya Nyamhongoro majengo mapya. Kina eneo la 487 za mraba kiko prime area. Bei ni shilingi 10/=mil. Kina documents zote. Kwa mawasiliano piga 0784933374
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini za usiku wa Leo.kiwanja chenye title ya industrial kinauzwa kunduchi kama unaelekea bahari beach karibu na chuo cha usalama.kina sq m 7400.ambae atapenda kukiona au kujua bei anicheki
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani. Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kilomo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani. Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umuofia kwenu! Kiwanja chenye ukubwa wa Ekari 1.5 kinauzwa Kiwanja kipo kijiji cha Mwakalundi,umbali wa kilometre 4 toka Buswelu Wilayani.Kimetizamana na barabara kuu na kinafaa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina eneo la ukubwa wa hekari 2 linafaa kwa makazi na si kilimo,lipo maeneo ya Kisemvule-Mpera wilaya ya Mkuranga,lipo barabarani kabisa usafiri wako binafsi unafika. Bei 12 Milioni. 0712 318 315
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kusukuma gurudumu la maisha. Nisingependa kuweka personal life yangu hapa, sema imenibidi kulingana na hali halisi...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Back
Top Bottom