Habarini Wakuu!!!!
Nahitaji mwenye Connection ya Ajira kwa nchi hizi (Canada, Dubai, Qatar, Denmark, Finland, Iceland, Norway,Sweden).
Kama mnavyojua Bongo ajira ni kipengele kidogo, Sasa katika...
Viatu vikali hivo hapo angalia kipi kina waka kwako zipo simple raba za kike 30,000Tsh na Nike 38,000Tsh.
Vipo viatu kama Nike vikali, scorpions nzuri, sebago, airmax, airforce, jordan...
Habari wakuu,
Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama...
Bei/Price TSH 12.7M
Call +255 747 999 927
SUBARU IMPREZA SPORT
Year: 2011
Engine: 1490Cc
L O W MILEAGE
Transmission: AUTO
Fog Lights
Sport Rims
Android Radio
Clean Interior
In Good Condition...
Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu, nitumeni , niko tayari kufanya delivery.Nitawauzia mzigo kwa Bei ya China , Bei ya Soko la Huangshangbei Electronic Market pale Shenzhen,China.
Mzigo tulionao ni...
We specialize in building design, construction, renovation, and consultation services. Whether you're starting from scratch or upgrading your space, our expert team is here to bring your vision to...
Shamba lina ukubwa wa Hekari 2
Lina miti 1000+
Miti ina umri wa miaka
Shamba lipo Mwanza, Ukerewe
Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki...
UNAONA UNAVYOHANGAIKA KUNUNUA BANDO KILA SIKU? WI-FI ROUTER ZA YAS (TIGO) NDO KITU PEKEEE KINGEKUSAIDIA
Kua na wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose...
Karibuni viwanja vizuri kwa makazi na biashara, Mbande mipeko C, viwanja vipo zaidi ya 100, bei kuanzia 1.3M hadi 3.5M, size futi 40x40, 50x40. Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Unaweza kulipa...
Habari za muda huu,
Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili.
Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika.
Ahsanteni.
Keygun Gershom