Habari wadau,
Kuna lipa no ya biashara yangu nlisajili kwenye mtandao wa Airtel, sasa nimefikia uamuzi wa kubadili jina la biashara, nataka no za LIPA no ziwe zile zile, nibadili jina tuu...
Gari ina sensor nyingi sana kama MAF sensor, MAP sensor, A/F sensor, IAT sensor, ECT sensor, TPS sensor, CPS, VSS n.k.
Lakini katika hizo sensor zote kuna sensor moja tu ambayo ndio sensor kuu...
AGIZA KARIAKOO - nunua bidhaa mbali mbali kwa njia ya mtandao na utaletewa kokote ulipo kwa bei poa kabisa, tutakufanyia delivery adi nyumbani kwako
Agiza nasi sasa, okoa muda na gharama za...
Welcome to Outdoor cleaners.
We are commercial, industrial and residential cleaning services company with full registration and more than 5 years of experience.
Our Cleaning services include;
Ø...
TANGAZO.
IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY)
Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee.
Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba)
Dawa ambayo imeonyesha mafanikio...
Habari za leo waungwana? Nauza gari hii. Ni Carina AT 190 Manual. Gari inatembea vizuri kabisa na mimi ndiye mmiliki. Ina CC 1590, vibali vyote vipo. Inapatikana Busega (Nyashimo) Simiyu. Kilomita...
Habari!
Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa...
Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi...
Apartment For Sale - Posta City Center, DSM
It's opposite Golden Jubilee tower.
It has three bedrooms, one public toilet.
It's on 2nd floor.
The building is fairly used.
No lift, garage and...
Habari
Natafuta majagi ya brenda kama haya kwenye picha ambayo anayo tutafutane nitanunua maana ya kwangu yamepasuka naambatanisha na mashine zenyewe ili iwe rahisi kufahamu.
Eneo linauzwa Kwa hili ya matumizi ya KIWANDA
Location
Kigamboni Mwasonga
Sqm 10000+
Title Deed (HATI YA KIWANDA)
Bei milion 600
Hakuna mgogoro wowote
Nipigie simu nikupeleke
📱0754693556
Absolutely! Hii hapa ni blogpost ya kisasa yenye nguvu ya kuvutia wajasiriamali wa Tanzania ambao wana biashara nzuri lakini kimya — kwa hiyo hawapigi hatua sokoni. Imejengwa kwa storytelling...
Ni kweli au AI?
Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku Fuga App inakusaidia :
kutunza rekodi za Ufugaji kiurahisi zaidi
Inakusaidia kujua chakula kinaisha lini na pia kiwango cha chakula kwa siku ili...
1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio.
2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara...
Bei/Price TSH 11.7M
Call +255 747 999 927
TOYOTA iSt
Year: 2003
Engine: 1,290Cc
Mileage: 120,000+
Transmission: AUTO
Fog Lights
Sport Rims
Android Radio
Clean Interior
In Good Condition...