Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 14 na Oneui 6.1
Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya...
All phones are available
Top up and Exchange allowed.
Mnunulie simu nzuri kutoka kwetu Mpenzi, rafiki, ndugu, baba, mama, shangazi au mjomba. Ni mwezi wa zawadi usikae kinyonge. Tumewashushia bei...
Infinix smart 8
Imenunuliwa mwezi wa 7 mwaka huu.
RAM 3GB
Storage 64GB
Battery 5000mAh
Bei 220,000/= maongezi kidogo yapo.
Mwenye uhitaji karibu inbox
Asante.
Wakuu,
Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9.
Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable...
SIMU NI MPYAAAAAAAAA
Google Pixel 9 PRO XL
RAM 16GB
ROM 256GB
Camera 50MP
BATTERY 5060mh
TSH.3,650,000/=
Call/WhatsApp 0749417334
UBUNGO DARAJANI
SIMU NI MPYAaa
Xiaomi Redmi Note 11
Storage Gb128/6Gb Ram
Camera ni balaa📸🔥🔥50MP ultra Wide /13MP Selfie
Laini mbili
Battery 🔋 5000MAH (Over 2 days lasting with data usage)
Simu iko clean Vibaya mno...
Je, unataka simu bei chee?
Je, una abudget ndogo na unataka simu?
Je, unataka kufanya Top up au exchange?
Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako.
Exchange na Top up tunafanya...
Wakuu niaje
Asee nauza simu yangu clean condition. Imetumika miez mi3 tu
Sida zake ni hizo hapo juu. Aina yKe ni Samsung A25
Price 340
Call : 0628731833
Tabata kinyerezi
Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition.
Ram 6 GB
Internal storage 128 GB
Single sim card
Size 6.1 inches
Network 5G
Bei 500,000/=
Protector cover bure
Nipo Tabata Segerea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.