Kampuni ya uuzaji na upimaji wa viwanja ya MAKAZI SOLUTION iliyopo Kinondoni TX inapenda kukutangazia kuwa vuwanja vya mkopo wa kuanzia mwaka mmoja na nusu vinapatikana kwa maeneo ya...
Kimepimwa (surveyed)
400 meters kutoka baharini
3 kilometers kutoka Dege Eco Village
Barabara nzuri inapitika muda wote
Kumeendelea (kumejengeka)
Kiwanja square meters 574
Bei ni Tshs 9,000,000...
Eneo: goba kibululu , km 1 kutoka goba centre
Eneo limepimwa so upatikanaji wa hati ni rahisi sana na pia ni eneo ambalo tayari kuna makazi ya watu pamoja na huduma zote (maji na umeme)...
Salaam,
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta wazo (mji mpya)
Kutoka njia panda wazo ni km 6
Kiwanja kipo kwenye mtaa mzuri na uliopangika
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1200
Kiwanja kipo full surveyed
Bei: 35m...
Habari wakuu! Kiwanja chenye ukubwa wa square meters 600 kinauzwa Tshs 6,500,000. Kiwanja kimepimwa na Manispaa ya Morogoro na hati ipo hatua za mwishoni kutolewa. Kiwanja kipo Kingolwira karibu...
Kipo kitungwa$ bear nanenane) nyuma ya like gorofa kubwa linalojengwa pale. Kina hati Square meters 876. 15M. Takribani meter 300 kutoka barabara kuu ya Moro -Dar. Njoiin vo
Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji...
eneo ni kubwa kwa ajili ya matumizi ya sheli
limekuwa surveyed na lina hati
location: njia ya goba kwenda mbezi
barabara imechangamka sana na ina lami..traffic ipo ya kutosha
mawasiliano...
Nauza kiwanja Kiluvya njiapanda ya kwa Sumaye. Kiwanja kinaukubwa wa nusu heka, kimewekwa mawe bado hati tu.
Kipo karibu na miundombinu yote barabara na umeme
Bei ni milioni 13
Kwa mawasiliano...
Kiwanja kinapatikana BUNJU B njia ya kuelekea/kwenda mwabepande.
Ni karibu kabisa na kota za TIB
2km kutoka BAGAMOYO road
Kiwanja kina hati miliki.
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1608
Huduma muhimu zote...
Nauza kiwanja chenye ukubwa mita 50*40
Kiwanja kipo umbali wa km 2 kutoka barabara kuu ya kuelekea Mbande
Kiwanja kipo eneo linaitwa Kitonga Mbagala.
Kiwanja kinauzwa kwa bei ya Tshs mil 4
Kwa...
Habari wana JF nauza eneo lipo michese dodoma KM 6 kutoka soko la majengo miundo mbinu iko mizuri.
ukubwa wa eneo ni sqm 2162 au tulio zoea hatua ni miguu 57 kwa 52.
bei milioni 4
karibu PM wanunuzi.
-ukubwa wa eneo ni 25m *23m square meter 575.
- eneo lipo kwenye mradi wa urasimishaji ardhi
- barabara ipo ya mtaa hadi kwenye kiwanja
- eneo lipo karibu na shule ya msingi kifuru (malamba...
Wadau!
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu, Nina hekari 6 zipo chalinze barabara ya kwenda moshi, unashukia kituo cha mboga, kutoka barabara kuu ni mwendo wa dakika 8-10 kwa bodaboda, kipo jirani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.