bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,697
- 4,107
Wadau!
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu, Nina hekari 6 zipo chalinze barabara ya kwenda moshi, unashukia kituo cha mboga, kutoka barabara kuu ni mwendo wa dakika 8-10 kwa bodaboda, kipo jirani na kiwanda cha matunda cha sayona(kama sikosei)
Bei:1100,000 kwa hekari
Eneo ni tambalale, na ni ardhi unayoweza lima: mihogo, ufuta, mahindi, papai nanasi n.k lipo jirani na mto
Nilinunua kwa lengo la kupanda maembe, migomba na machungwa kwa lengo la kuwauzia kiwanda (matunda) kwani bado wanahitaji sana.
Eneo lingine ni kwa ajili ya kupanda mihogo, na ufuta.
Dhumuni la kuuza: Nimehamishiwa Mbeya hivyo naona fursa ya kuyatunza sitoweza..
HAKUNA HELA YA UDALALI.
Kwa mawaziliano, Karibu inbox.
Ahsante!!!