WanaJF habari zenu,Mwenzenu nimepata Matatizo hivyo ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2.5 lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na...
Nauza kiwanja kipo mabwepande,kipo karibu na dispensary ya Mabwepande na karibu na makazi ya watu,kina ukubwa wa hatua 20 x 20
Mawasiliano 0762 768053
Karibuni
WanaJF habari zenu,Mwenzenu nimepata Matatizo hivyo ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2.5 lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na...
Sqm 75000(19),lipo kando ya barabara ya Mkuranga to Kisarawe Road na umeme tayari upo.Linafaa kwa shule,ufugaji kuku na kilimo cha maembe.4kms kutoka Kilwa Road.Nyaraka za umiliki zote zipo...
Excelent condition, Toyota OPA ya 2003, ingine 1ZZ - 1800CC, mileage 85,000km. 15inch Sports rim. CGJ namba plate. 6month in Dar. DVD/CD Radio, full power window, color ni peal. Going cheap kwa...
Habarini
ninahitaji nyumaba ya kupanga vyumba viwili na sebule selfcontainer,
maeneo ya magomeni bajet yangu Ni 170000 Kama unafahamu nijulishe now by pm Pia ilala
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
Wakuu naomba kujuzwa kwa wale wazoefu, hii gari RAUMU new model ikoje? Kwa maana ya ubora wake, ukilinganisha na RAUM old model na nyinginezo. Asanteni na karibuni kwa maoni na michango.