Habari wadau,
Nakuja kwa mara nyingine, mara nyingi nilikuwa naangalia haya malori ya kusafirisha bidhaa mikoani na nje ya nchi. Kwa mwenye ufahamu wa hii biashara naomba mnielekeze mtaji...
Mtambo wa kutafiti madini ya gesi, mafuta na madini mengine mfano almasi, dhahabu, makaa, na vito vingine ndani ya ardhini kwa umbali wa zaidi ya 1500km chini ya ardhi unauzwa ukiwa katika hali...
leo nimetembelea mlimani city Kwenye punguzo la cm pale wanauza simu bei kubwa sana tofauti na kule ndani. simu inayouzwa Kwenye punguzo 37000 basi Kwenye maduka mengine ni 32000 Nokia ya tochi...
14 hectares of land located near
ifakara health institute at bagamoyo
(dar es salaam/ tanzania)
price: Tsh-650million (negotiable)
contact below number
for more information
kwa swali lolote...
MAFUNDI UMEME WA MAJUMBANI NA OFISINI
WANAFANYA WIRING NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA UMEME KAMA:
HEATERS
RICE COOKER
JIKO
FENI
PASI,n.k
Wanapatikana Nyegezi,Mwanza: 0756917972
KARIBUNI
Wadau wa JF!
Mzigo mpyaaaaaaaa Samsung Galaxy S4 iko sokoni!
Check Picha hapo kwa reference zaidi!
Bei: Tshs. 600,000/- Haina udalali hiyo!
Contact: 0776443644
MAHALI: Mbezi kibanda cha mkaa
Upande wa kanisa.
VYUMBA: Viwili (Double room).
KODI: 40,000/= kwa mwezi. Pamelipiwa mpaka 31-january 2014.
VILIVYOMO:
1. Kitanda 5 x 6...
Wanajf, Ni wazi kwamba vijana wetu walio Chuo Kikuu na Taasisi nyingine za Utafiti tunakabiliwa na uhaba mkubwa wa vitabu vya taaluma mbalimbali(Uchumi, Uhasibu, Siasa, biashara, Globalization...