Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tablet ya kichina ipo sokoni,nipe offer yako km inalipa nakuachia...sio mtaalam sn ktk haya mambo lkn internal storage ni 8gb.. Mzigo upo vizuri..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf fremu inakodishwa maeneo ya sinza kwa Remmy anayehitaji ani PM, mwenye nayo amehamishwa kikaz mkoani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilitengeneza mlango wa kioo, fremu ya aluminium, Size futi 11 kwa futi 9 na Kioo chake ni kinene. Ni mpyaaa na sijautumia.Sasa nimeamua kuuza baada ya kupata fremu ya biashara mahali pengine...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu, nimefanya research nimegundua watu wengi wana window 7 na window 8 ya 32 bits badala ya 64 bits! Ili kujua, nenda my computer den properties halaf nenda kwenye sehem wameandika system...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu habar zenu....natafuta huawei y300 lakin isiwe ile ya tigo..... namba yangu ni 0767879784
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Kama unahtaj cm no 0712546136 IPO FRESH
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habar...nahitaj hyo cm lakin isiwe ya tigo ile. namb yngu ni 0767879784.
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Salama wakuu. Keyboard aina ya Yamaha psr-s 910 inauzwa. Ni 2 m. Kwa mawasiliano ni 0689 309 344
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1999 1.7L Gari iko katika hali nzuri inatembea kwenda kokote Full ac Luxurious inside n out 119000km Bei 8.3mil Serious buyers only Tusiliteanee mizaa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samsung brand 4gb ram processor 2.4ghz Core i3 hard disk 500 gb battery time idle 4 hours window 8 installed 1 year warranty niliyopewa nakukabidhi coz ina mwezi mmoja tuu tangu ninunue...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Iko dodoma Inatembea aina ya felon Bei maelewano Cont;0652-094928 Email:moodyas37@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Wadau nahitaji gari isiyozid hela tajwa hapo juu..nimeamishiwa ktk mkoa wenye barabara za hovyo,pia hakuna daladala hivyo nahitaji gari kwa bajeti hiyo..sio mbaya hata ikiwa old model provided...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Kwa anayehitaji ani pm nipo dar.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nauza huawei p6...!!! ipo fresh haina tatizo,, bei .::: 600,000 kama utakuwa interested check me through 0785673240 call, text, whatsapp..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu wana JF mimi ni Estate agent (dalali) kwa yeyote yule anayetafuta 1. kiwanja/ mashamba ya kununua 2. nyumba/ apartment za kupanga au kununua 3. sheli za kukodi au kununua 4...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunadizaini nyumba za kila aina , bustani pamoja na interior design kwa bei nafuu. Tunapatikana Dar es salaam. Pia tuko tayari kushirikiana na watu wanaojishughulisha na ujenzi.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Iko.manyanya mtaa wa BM ina ukubwa mzuri bei 150,000 kwa mwezi. Piga 0716154531
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Kamera aina ya canon d5 mark iii ikiwa na lens mbili-std 50mm, 24mm-70 mm, pamoja na boom microphone yake (pistol shape) brand new inauzwa. Bei ni 5.3 milion inafaa kwa kazi za production na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natafuta HTC One ya kununua, aliyenayo tufanye biashara. ANGALIZO:Nahitaji HTC One na sio HTC ONE S, sijui HTC One V.
-2 Reactions
13 Replies
2K Views
Samsung s3 ipo dukani.. Imetumika kiasi, then ipo kwenye hali nzuri!!! Ni pm tutalk biashara kama upo tayari. Bei ::::: 365,000 asante
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…