Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa design za nyumba hizi hapa, vyumba vitatu na kuendelea. Ipo michoro mingi, njoo uchague design uipendayo,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wakuu. naomba msahada wa jinsi ya kuipata hii printer kwa jili ya id card za pvs [plastic] kwa mawasiliano 0757157725 ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Grab this Template for only 89,900/= including designing fee + first year domain registration (Any TLD) + first month hosting (Anypackage). Template 17. Stand alone cool template special for...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
nahitaji cmu fasta 3g naa double camera ntaweza kutumia skype n charge yake oky
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Achana na TV stands feki za Kichina zisizo na mvuto, kwa bei poa pata original TV stand yenye upekee kabisa; -Very unique design by Elecom Co. in Japan -Ideal for small sitting rooms and by the...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
ni used lakini ipo katika hali nzuri bei Tsh 160,000=
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Microwave ya samsung imetumika kwa miezi mitatu tu, inafanya kazi vizuri sana. mhusika ana dharura, na aniuza kwa sh 105,000/= yupo dar-es-salaam Anayeihitahi anaweza wasiliana nae kwa 0654741801
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samsung galaxy s3 min inauzwa imetumika kwa mwezi nicheki kwa 0717022737 inatumia line2 ni original. Ina internal memory ya 8gb
0 Reactions
19 Replies
1K Views
habari wakuu! Refer above heading please! Cpu xcess tower processor 1.0ghz, 40gb of hdd...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Ndugu wanajamvi ninauza crate za bia 48 na chupa zake tupu kwa shs 10,000 kila moja. wasiliana nami kupitia 0717489246. nipo dsm
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu Husika na kichwa cha habari hapo juu, Nahitaji Huawei y300 yenye hali nzuri Nipo Dar NINA 130,000 Ni_pm kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa....nauza galaxy s3 iko katika hali nzuri mno.....bei ni laki 3.90.....maelewano yapo... Contact me 0764731318
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeitumia takriban mwez mmoja na nusu sas,nipatie 80000,nipo dar kndon....nichek kwa Sim # 0789674747
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta kiwanja heka moja kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi na kuweka mifugo pia.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa kwa haraka sana kina ukubwa wa 40 x 30m. kipo karibu na kituo cha daladala. umeme upo. gari linafika hadi kiwanjani. bei 9m mazungumzo yapo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Well wadau mie ni muajiriwa kanda ya ziwa bukoba katerero moja kwa mtu binafsi ila kuchomoka dakika 2 tatu kwa siku naweza. Simnajua tena vimshahara vya waswahili nafikiria kuzungusha hela kidogo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Post bure kwenye website ya "www.dalali .co.tz" na upangishe fasta! We nakaa unakera Kweli!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza camera yangu Nikon D7000 16.2 MP Digital SLR, ina professional lens za Tamron zenye range ya 28-200mm kwa 1.5 M. The camera is almost new, imetumika miezi 4 na nusu, haina tatizo lolote. Ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kazi hata za site maana ake hapa nimechoka kulala nje kila siku jamani msaada wenu kila siku mimi tu Why me So naombeni hata mwenye kujua kazi ipo anicheki kupitia mtandaoni kupitia...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Je uko Dar, Mbeya au Arusha? Unahitaji samaki kutoka Mwanza? Wasiliana na Grace Fish Delivery Services. HUDUMA ZETU: Tunakukaangia samaki usiku (fresh kutoka ziwani) na utazipata siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…