Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ninauza mafuta ya alizeti kwa shilingi 12,500/= kwa kila ujazo wa lita tano Kwa wale wote wanaoishi Daresalaam wanaweza kunipata Mbezi Mwisho kwa namba 0753868912 na pia kwa wakazi wa mikoa ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu salama? mkewangu anatumia hii simu anataka nyingine mwenye smartphone ya maana tumpatie hii na kumuongeza pesa nyingine, aseme pls. Nimeona kuuza itachukua muda. ~Weka aina ya simu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wanajanvi wenzang,naitaji gari ambayo ipo juu,isiwe chini sana,pia iwe haijaguswa engine wala tatizo lolote la kiufundi,fuel consumption yake walau iwe 14km/ltr,ikiwa Toyota ntashukuru...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mwenye blackberry bold 9900 mpya au used iliyo kwenye hali nzuri anitafute 0714155854
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunaunda welding machines kwa bei nafuu. Tunapatikana Dar es salaam. Na kwa wale WA mkoani tunautaratibu WA kuzisafirisha mpaka hapo ulipo. bei zetu ni 300,000/= kwa mashine ya Amps 280 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu tajwa hapo juu inahitajika haraka sana budget 750k,pm me for more negotiation
0 Reactions
0 Replies
650 Views
used lorry aina:mercedes benz model:1114 liko katika hali nzuri , linafaa kwa biashara ya kusafirisha mizigo mikoani n.k mawasiliano 0754 311 336 0654 371 337 liko dar
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau ninauza vifaranga wa kienyeji hybrid kwa bei ya sh 1500 kwa kifaranga cha siku 3, sh 2000 kifaranga cha wiki 1, sh 2500 cha wiki 3. Kwa mawasiliano piga 0658428186 au ni inbox number yako...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sony Cyber-shot DSC-H200 20.1 MP Digital Camera - Black Bei tunaziuza kwa Tsh 455,000/=
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta s2 iliyo na rangi nyeupe au black ambayo bado iko vzur. Nichek via 0755118311
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar humu ndan.natafuta kijana ambaye ana utaalamu wa kutengeneza chips na kuku.ambaye ana uzoefu.napatikana kwa namba 0712620078
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii ninatafuta solar panel ya watt 100,ni sh. Ngapi? Na jee nitaipata wap? Naombeni mnijulishe sana jamvi
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni Hp Pavillion Dv6000 Intel core 2 Duo 1.6Ghz 160 Gb hdd 1Gb ram DvD rw Webcam 2hrs batry nipo Dsm 0716-844978 bei 250,000/=Tshs
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Viwanja vinauzwa viko mbezi makabe ukubwa mita 24x20 million 5,mita 40x20 million 9. Umeme upo,na vinafikika kwa barabara nzuri. (Kwa taarifa zaidi piga 0718334726)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawatangazia wafanyabiashara wa vyuma chakavu kuwa kuna vyuma chakavu vinauzwa. Kwa taarifa zaidi piga simu namba +255 713 57 44 12.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SIFA ZAKE: 3G Network SIM Micro-SIM Body Dimensions 134.4 x 69.9 x 8.9 mm (5.29 x 2.75 x 0.35 in) Weight 130 g (4.59 oz) Display...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nauza lita 20 kwa shilingi 140000;ni asali nzuri ya nyuki wakubwa kama unahitaji mzigo basi tuwasiliane kupitia no hii 0688161818 niko Makambako -njombe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman wapendwa natafuta mini laptop ya 150,000/=. mwenye nayo au kama kuna mtu mwenye taarifa ya zinakopatikana kwa bei hiyo anijuze. itapendeza kama itapatikana kwa dar au dodoma,
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Simu tajwa hapo juu zinahitajika bajet 700,000 ni PM Ziwe mpya
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…