Habari zenu ndugu, jamaa na marafiki!
Naitwa Enock, napatikana Mbezi Mwisho (Mbezi ya Kimara), mimi ni fundi wa kutengeneza samani zote za ndani (furniture) kama vile makabati, sofa, vitanda na...
Habari kuna OFA ya viwanja kibada mwera ni km3 kutoka kibada round about!
Bei sqm 1 Tsh 25,000 cash
Sqm 1 Tsh 30,000 Mkopo(miez18)
Mawasiliano 0746853161
Kwa mwenye uhitaji wa kuku wa chotara karibu sana wadau tuinuane tunapatikana Dar es salaam. Kuku wana umri wa miez 2 na wiki 2 kwa tarehe ya leo 06 May 24. Wapo zaidi ya 500. Kwa mawasiliano...
Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi.
Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na...
Napangisha Nyumba
Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc
Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita..
Karibu sana!
Habari wananchi kwa majina naitwa SADIKI JAFU ABDALA Napatikana Mkoa wa MTWARA wilaya ya NEWALA Natoa mafunzo ya umeme wa majumbai kwa vijana kuanzia miaka 10-17 kwa umri huo Amna malipo kuanzia...
Habari wapendwa nahitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3.
Location: njia ya bagamoyo mkenge
Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji
Nilinunua...
Laptop LENOVO inauzwa kwa Gharama ya 200k maongezi yapo.
Anapatikana Tabata Magengeni.
Condition-Used, inakaa na chaji dakika tano tu hivyo inatumika ikiwa kwenye umeme
Specs- RAM 4RAM HDD 300...
Habari ya muda huu wakuu, naimani tuko wazima.
Karibuni sana NGC inapatikana uwanja wa ndege/Kipawa barabara ya karakata karibu na hotel ya New FQ hotel. S L P 70478 DSM
Email ...
Kiwanja kinauzwa kama ifuatavyo:
i: Mahali kilipo: Kwa bibi barabara ya Tabata/Segerea mita 20 toka barabara kuu.
ii: Eneo: Sqm 1,416
iii. Kina hati: Ndio
iv: Bei: 310m
v: Mawasiliano: +255...