Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga.
Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
Introduction:
Baada ya kuona Monopoly kubwa ya Vingamuzi vya Kichina nimeamua kwenda moja kwa moja Dubai kuwaletea kitu chenye Quality na ambacho hautojuta kwa hela utakayoitoa.
N:B Soma kwa...
Huduma zifuatazo njoo nikuongoze
1. Tin application
2. Line za wakala na za lipa
3. Usajili wa jina la biashara
4. Utengenezaji wa logo, poster, stika, busines cards na kuziprint
5. Uandishi...
Bei ya jumla ni PC 10 kwa 130k tu lakini piah ni 25,000/-
Kuna edition nne za Scientific calculator na bei zinatofautiana lakini Casio fx 991 Ms first edition ndo bei zake hizo nafuu
#usipigwe...
Paka wa kufuga anahitajika awe mdogo kabisa ambae hana mazingira ya kumuogopa mtu ili nianze kumfuga awe mzuri, mimi nipo Kigamboni ofa yangu ni 30,000, na 5000 ya nauli.
Awe paka msafi mdogo...
Habari nauza kiwanja changu kipo Zanzibar Kiwengwa, kina ukubwa 33*30 kutoka kwenye kiwanja hadi beach ni dakika 5 kwa kutembea. Kiwanja kinafaa kwa makazi binafsi lakini pia kwa biashara
Nauza...
TV ziko poa kabisa na ni mpya zilikuwa sampo dukani bei yake ni Tsh170,000/= mikoani pia tunatuma ila gharama ni za kwako mwenyewe, tunapatikana Kariakoo mtaa wa Msimbazi karibia na jengo la...
Shalom....!
Najua JF imebeba Watu aina tofauti na Malengo tofauti wenye Imani tofauti...!
Ninahitaji kuwasiliana Nabii yoyote ambaye Mungu anamtumia, awe na Kanisa ama hana ni sawa...!
Kuna...
Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 60 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga … mwenye uhitaji anicheki namba za simu 0612630936
Natanguliza salam kwenu Wana jukwaa. Kama kichwa kinavyojieleza, nitakua na KAZI ya mwezi mzima hapa Dar es Salaam natafuta Furnished 1 bed room. Natafuta budget yangu ni 450k.
Kama kuna MTU...
NAUZA PLOT, KIBAHA MADAFU/ZEGELENI. KM 5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD.
Huduma za jamii zimefika... Maji,umeme, hospital,
Total area ni 1400sq meters. Ina hati miliki
Vimepakana na Kiwanda...
Mashine ya kumenya viazi na mihogo, imara na yenye ifanisi wa hali ya juu sana. Bei ya kutupa,mwenye kujua thamani yake haulizi mara 2. Nawakaribisha tufanye biashara.
Bei 900K.
Nipigie 0625697394
Viatu ni vizuri na imara sana.
Bei: 12,000 tu
Napatikana Dsm Segerea mwisho.
Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako.
Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
Habarini,
Kuna bidhaa ambayo inaitwa TOMATO PASTE hizi ni nyanya zilizochakatwa kiwandani na hutumika kama mbadala wa nyanya halisi. Kuna wakati hapa nchini kunakuwa na shida ya nyanya halisi...