Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Wanajamvi heshima kwenu.nyumba inauzwa mjini njombe mtaa wa hagafilo.bei 75milioni.ina vyumba zaidi ya 15.imeisha,ina kila kitu,kwa maana ya umeme na maji.inawapangaji full vyumba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari!Karibu Tongilo Trust solution wauzaji wa viwanja vilivyopimwa na unqkopeshwa bila dhaman yeyote. Unaruhusiwa kulipa Kwa awamu. [emoji1753]PATA BEACH PLOTS Kwa Million 6 Tuh (Installments 12...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
nauza dubwi 1700000, dogo 1200000
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za leo! Ninauza fenicha za ofisini zilizotumika zipo katika hali nzuri sana: 1. Meza kubwa moja (imported) 2. Kiti kimoja cha ngozi cha kuzunguka 3. Viti viwili vya wageni (nimenunua mwezi...
0 Reactions
2 Replies
626 Views
Habari za uzima? Nissan TIDA NAMBA EFU MILIONI 16 Gari bado ni mpya kabisa. Kwa mawasiliano zaidi karibu PM.
1 Reactions
13 Replies
882 Views
ZULIA ZA MTUMBA BEI 70K NJOO (0718909429) Friji ndogo laki 2 Pasi 50k
2 Reactions
6 Replies
869 Views
Habari wana JF Katika karne hii ya sasa bila elimu ya Technolojia flani itakuwa ngumu sana kufanikiwa kwani dunia yasasa ni ya kidigitali zaidi kwaio hutakiwi kupitwa na elimu ya technolojia kama...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi Mwenyenayo
1 Reactions
7 Replies
938 Views
Mashine n mpya Npe 1.4M Kujieleza πŸ“žπŸ“ž07
1 Reactions
7 Replies
742 Views
Naombeni msaada wa daktari mzuri wa ngozi special case albinism ni haraka sana asanteni awe dsm!
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wakuu Nauza vifaa vya saloon ya kike kwa ajili ya kucha na kutengeneza nywele ,vifaa ni bado vipya kabisa . Location Kinondoni Dar es salaam. Contact/namba;0623524725
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji. Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana JF naomba msaada wenu kwa Dar es Salaam naweza kupata wapi vitabu vya siku nyingi vya mwandishi mashuhuri Mohammed Said Abdulla. Nimetembea katika baadhi ya maduka ya vitabu bado sijafanikiwa...
2 Reactions
10 Replies
12K Views
Nina TAWI makumbusho nahitaji kijana mwenye kuweza kushirikiana nami kuiendea ndoto yangu mpaka nije kumpa share kwenye kampuni ninayoiota... Akiwa na elimu ya darasa lasaba lakini ana ugenius...
1 Reactions
1 Replies
405 Views
Kama una access nazo njoo inbox please..
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Naomba kunichagulia sofa nzuri nataka kununua,na kama una lako zuri zaidi,naomba utume picha kama nitalipenda nitapeleka order kwa fundi. Kingine naomba kuuliza kama miguu ya sofa hizi inadumu...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Tunakodisha Playstation 4 Games zilizopo Fifa 24 GTA V Call of duty modern warfare Need for speed heat Mortal kombat Hogwarts Legacy bei ni kama ifuatavyo Saa tatu asubuhi hadi saa tatu usiku...
1 Reactions
1 Replies
594 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…