Wakuu nipo Dodoma ninauza Simu, Sony Experia M Duos, Almost new imetumuka kwa miezi miwili. Haina scratch yeyote.
Bei ni Tsh 200,000/-
Anaye hitaji anicheki kwa 0717781810.
Asanteni.
Wadau, kuna mpendwa mmoja beste yangu anahitaji chumba maeneo ya magomeni, isiwe tu ni kwa Mtogole. Bajeti yake ni 25,000 per month. Sasa wenye akili watasema ati ni mimi najipigia debe!! Kama...
Habari ndugu. Kwa yeyote mwenye muvies mpya na kali naomba tuwasiliane napenda muvies lakini sijui nazipataje, nipo tayari kuzilipia atakayependa kufanya hivyo.
Habari wana jamvi.
Naitaji simu aina ya tecno p5,h5,f5 au huawei y300 bajet yng 10,0000/= mwenye nayo anichek kwa no hzo 07139434320 tufanye biaxhara faster
npo dar
habari wakuu,kuna tecno p5 inauzwa ambayo ni used kwa miezi minne inauzwa shng 115,000/=.Haina earphones tu!simu ipo Arusha.U can PM me if you are interested
Gari tajwa hapo juu linauzwa
manufacture year 1993
colour brown,
model YR21,
odometer 108642KM
engine capacity 2000cc
bei ni milioni 5
mawasiliano zaidi # 0714358610
TRUCK/PICK UP YA 2 TONS YENYE TYRE 3 TOKA CHINA ZINAUZWA WAPI HAPA DAR ?
Salama wakuu ? ? Pana magari yameingia hivi majuzi tu hapa jijini Dar, yanaunguruma kama tractor...
nyumba ya vyumba vitatu,kimoja ni master,sitting,dinning,jiko,st ore,public toilet,garage na maji ni 24/7 ipo ndani ya uzio, kodi ni 500000 kwa mwezi mawasiliano # 0714358610 Attached Thumbnails...
Hi guys,
Nipo Dodoma, natafuta vifaa vya salon ya kiume used kwa being nzuri, vifaa hivyo ni viti 2, machine 2 za kunyolea, na vioo viwili. Kwa mwenye navyo naomba ani pm.
New dell venue pro 8 @ 600,000 (pc tablet windows 8.1, ram 2gb hrddisk 32 gb,5 mgpxl cmra) it is a fully computer operational tablet.....
Contact: 0766273913
wadau nauza simu tanjwa hapo juu.. imetumika lakin ipo katika hari nzuri kabisa...haina scratch..
piga au tuma sms kwa namba iyo hapo chin nikupatie picha.
bei ni 255,000 tu.
pm au
0654715457
Mwenye kufahamu wapi nitapata Portable Router (ya kuweka mfukoni ndogo kama Simu) yenye kutumia Sim Card naomba anifahamishe, na naweza kupata kwa bei gani. Nikipata aina ya D-Link nitafurahi sana