Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Napenda kununua vitu vya zamani ,ni vitu vya aina mbalimbali napenda vya kuanzia vya miaka ya 70 na kurudi nyuma,kama kuna sehemu unaijua tafadhali naomba maelekezo kupitia hapa hapa jukwaani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nauza nissan march yangu T 633 AXU, km 186,000, Automatic, cc 990, ya mwaka 1998. Injini haijawahi kuguswa kabisaa! kwa mawasiliano 0716 002323
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Samsung led for sale brand new 40 inch 1,300,000 tsh 32 inch 850,000 tsh contact 0717323912
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari,ninahitaji gari yoyote ambayo iko kwenye hali nzuri na bei yako ya kuuzia isiwe zaidi ya milioni 5(hata ikiwa chini ya hapo c mbaya). Gari isiwe saloon. Nitafute kwa 0763969066. Waweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hallo members, nahitaji motherboard ya iphone 4 isiyo na icloud account. Kama unayo nipe bei yako kwa 0763969066
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Nyumba inapangishwa ipo kipunguni A 2km kutoka Banana Ukonga. Ina vyumba nane haina master ila ina choo ndani, marekebisho machache ndani ya wiki moja tu kwasababu ilikuwa imepangishwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Dvd writer model ts-L633 designed by toshiba vs samsung bei 30,000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada kufanya kazi ya sales na kampuni za bima nimeamua kufungua insurance agency yangu ofisi zipo magomeni kagera na banana Ukonga top guide insurance agency mimi agent wa jubilee insurance ltd...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza gari aina ya toyota vista.ipo ktk hali nzuri. Piga simu 0652622556 whatsup 0762474732
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa anaye kodisha magari hapa dar ani PM nataka gari kwa siku tatu kuanzia leo mchana
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Toyota prado tx inauzwa mil 42. Bila punguzo lolote straight kutoka kwa mmiliki. Inatumia diesel engine ni vvti. Kwa muhitaji contact 0716880022
1 Reactions
2 Replies
2K Views
piga simu namba 0768359292
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hard disk 500GB RAM 2 GB... location; Sinza Dar es salaam Bei..450000 tu....... haina tatizo lolote lile bado ni mpyaaaa nauza tu kwa vile nina shida na pesa kwa sasa, wahi sasa nafasi ndo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Sim ipo katika hari nzuri kabisa...haina scratch.. bei ni 240,000 tu. pm au 0654715457
0 Reactions
1 Replies
801 Views
We ShareSuccess Inc. is now starting to offer free real company shares during thisperiod of its pre-launch up to February 19th 2015 for would be users of thePerfect Internet websites. You get...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
used Original Nokia x3.02.5 touch and buttons phone 5mp camera whatsapp n.k na 50,000 cash nipe simu yenye uwezo mzuri nipo dar nicheki 0688 206680 kwa picha nicheki whatsap hapa zimekataa
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Flexible tanks za kijerumani zinauzwa.Make yake ni BUSCHERHOFF zinaweza kubeba hadi lita 25,000 Zinawafaa exporters au importers wa bidhaa za vimiminika,mafuta na baadhi ya kemikali Interested...
0 Reactions
5 Replies
991 Views
Chumba naweza kukipata nyegezi kwa kiasi gani????
0 Reactions
5 Replies
900 Views
nipo Dar, nauza simu tajwa hapo juu kwa laki Na nusu, simu Ni used ila ipo kwenye Hali nzuri, betri ipo vizuri kabisa Na haijabadilishwa, kwa mwenye uhitaji Ni pm
0 Reactions
5 Replies
991 Views
Nahitaji kupata vitabu vyote vya mtunzi mahiri marehemu Elvis Musiba, Sihitaji hizo mnaita cjui soft nini nini huko.....mi nataka vitabu halic kwa mwnye navyo iwe vyote au baadhi nahitaji...
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…