Kwa mahitaji yoyote ya graphics za aina yeyote YEGO BROTHER'S GROUP imeanzisha kitengo kipya cha JR-Learning and Academic Super store. Wasiliana nasi sasa ili kutatua matatizo yako kuhusu...
Habari zenu wadau.
Mie ni mwanafunzi wa chuo hapa Dar najishughulisha na biashara za Mpesa, Tigopesa na Airtel money, nina jumla ya mtaji wa 3,205,000 pesa ya kuzungushia pamoja na assets...
Sony xperia Z inauzwa .
IPO kweny hali nzuri
android version 4.4.4
black in colour
price 550k
contact 0767879784
picha ntaweka badae wakuu nipo mbali na simu sasa hiv.simu inakuja na ear phone.
Habari wanajamvi,,,,,,natafuta fundi wa kureplace key moja ya hii laptop HP 630....
Up Arrow key imechomoka na lock zake zimekatika,,so inahitaji key nyingine na locks pia, mwenyenayo tuwasiliane...
Nauza simu aina ya Nokia Lumia 520, imetumika kwa muda wa miezi miwili lakini bado iko katika hali nzuri kabisa na haina tatizo lolote.
Bei: 220,000/=
Mawasiliano: niPM au nipigie simu namba...
nauza line kutokana na mtaji kupungua nataman! hazina tatizo lolote na line za mpesa zipo till 2 line ya tigopesa inaweza fanya kazi popote 0767279713 0658825141
NAITAJI KUBADILISHANA LAPTOPS.
NAKUPA MacBook Pro UNANIPA LAPTOP YAKO AINA YOYOTE NA KIASI CHA PESA LAKI 3.
LAPTOP YAKO IWE NA SIFA ZIFUATAZO- KUANZIA Ram 3 .hard disk 200gb, intel core 2 duo NA...
Jamani naomba mnisaidie kwa wanaokaa mwanza nyegezi anisaidie natafta chumba ambacho ni.kizuri self container kiwe maeneo ya nyegezi kisiwe na gharama kubwa plz plz plz!!!!!