Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza suzuki escudo bei ni milioni 6.5. Na Hizi ndio details za hii suzuki; Registration number: t 746 aat make: suzuki model: escudo model number: tdiiw body type: station wagon color: blue...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu Wanajamiiforum wenzangu, Nyamba inakodishwa: iko nyumba ya mwananyamala hospital ina vyumba 6 Kodi ni 1 millioni kwa mwezi Nyumba iko kwenye eneo zuri Inafaa kwa matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haina shida ,nimeamua kuiza. Ofa hii mwisho 10.December.2014
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Simu hiyo hapo blackberry torch 9800 inauzwa kwa bei ya 160,000 tu... Ipo katika hali nzuri ya kutumika ila ina kamstari kidogo kwenye kioo.. Ni ya kuslide pia ni touch screen,ina flash camera...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Toshiba(hdd 500 gb,ram 2 gb,processor 2.19 ghz price 450,000),Acer(hdd 500 gb, ram 4 gb,processor 2.39 ghz price 550,000) mashine hizi ni mpya kabisa hazijatumika nauza kwa hii bei nimetingwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukubwa ni nusu heka,bei milioni 7 maelewano yapo,karibu kuja kuona piga simu namba 0717567879
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Viwanja vinauzwa kuanzia mil 4 ukubwa kuanzia mita 20*20 Vinafikika kwa barabara nzuri Na umeme upo jirani Kwa taarifa zaidi piga 0715055577
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nauza iPhone 4 mpyaaaaa, safi, bado ipo makin kwa gharama tajwa apo juu! Mwenye kuhitaji tuwasilaane kupitia no 0717924356 au an inbox! Ni laki tatu tu Shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari njema kwa wanaojipenda! Sasa unaweza kupata mafuta ya queen Elizabeth kokote ulipo kwa bei ya tsh 25,000/= tu. Tumia mafuta ya queen Elizabeth original toka UK ikupe siri ya urembo wako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habar zenu wapendwa natafuta vitz au starlet ya 2.5 hata ikiwa ya milango miwili poa tu. kwa aliyenayo anijulishe kwa namba 0716 002323
0 Reactions
19 Replies
4K Views
ndugu wana jf, nauza samsung galaxy s2,380,000, s3550,000, s4 650,000 na s5 kwa 950,000 Sony Experio Z1 590,000 new Sumsung galaxy S Advance 320,000.new LG 2 kwa tsh 550,000 new Huawei G...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Sifa za gar na picha za gar chin hapo bei 11m maongez yapo maan ni biashara hii kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta mteja wa solar power bank za jumla email yangu ni: thejoseec@gmail.com namba yangu ni: +86 137 6132 5614 whatsapp ni: +86 185 2100 4032
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wote wenye mapenzi na blog yani wanao blog kama biashara. Weka matangazo yetu kwenye blog yako ulipwe wasiliana nasi hapa au PM
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau nahitaji pick up kwa bei nafuu ili itumike shambani.Ni vizuri ikiwa Toyota
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni Pm tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Nauza gari iko ktk hari nzuri.Nitafute kwa 0652622556/ 0762474732. Bei ni 5.5m
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jumia is Tanzania's number one online shopping destination where you can shop the widest selection of electronics, fashion, home appliances, kid's items and more in Tanzania and have them shipped...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyuma ambayo msingi inaflem 4 ambayo haijamalizwa inauzwa ukubwa wakiwanja ni 20kwa30 mita ipo CHANIKA NYAGURU KARIBU NA BUYUNI Bei 17.5mill maongez yapo na pia kuna kiwanja ambacho kina ofa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…