Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bei ya Hisense smart tv 32" - 380,000 40" - 580,000 43"- 650,000 50" - 899,000 55"- 1000,000 58"- 1,200,000 Warranty mwaka mmoja (miezi 12) Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge. WhatsApp...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023. Nina uhitaji wa google console account / play store developer account. Njoo pm please
0 Reactions
7 Replies
811 Views
Milioni 3.5. iko katika hali nzuri sana
4 Reactions
11 Replies
735 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta Banda la kununua Moshi mjini..Banda la bati linalohamishaika.....Mwenye nalo anicheki hata inbox
1 Reactions
0 Replies
313 Views
FOR RENT CHUMBA MASTA NA SEBULE : TSHS 150,000/= MAHALI: Mbezi beach TANGIBOVU. CALL : 0679268006. ○ Tailizi, Gipsam. ○ Umbali kutembea ○ Ndani ya fensi, Maji ndani. ○ Umeme submita
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Tupo Moshi tunatengeneza website kwa bei nzuri ila tawi letu lipo Arusha City,. Nandipo tulipoanzia . inbox me if unahitaji Logo nzuri za kisasa ,websites nzuri ambazo zimeundwa kwa miundo ya...
0 Reactions
4 Replies
320 Views
Pikipiki honda ace 125, Individual inauzwa 2,100,000 shilingi za kitanzania. Pikipiki inasoma kilometa 600 mpaka sasa,ina kadi yake.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Wana jf Mwenye anajua wapi frame inapatikana anijulishe. 0657380484
1 Reactions
6 Replies
569 Views
Habari zenu ndugu zangu! Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart! Anayehitaji tuwasiliane kwa mawasiliano: 0672473087
1 Reactions
7 Replies
840 Views
Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za...
2 Reactions
9 Replies
651 Views
FOR RENT - CHUMBA MASTA NA SEBULE - TSHS 150,000/= Mbezi Beach GOIGI. CALL 0679268006 ○ Tailizi, Gipsam. ○ Umbali kutembea ○ Ndani ya fensi, Maji ndani. ○ Umeme submita
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Kupitia kampeni hii, wateja wateweza kununua simu janja kwa mawakala waliodhinishwa na Samsung kupitia malipo nafuu ya mkopo ya kuanzia shilingi 1200 pekee kwa siku, wiki au mwezi kwa kipindi cha...
2 Reactions
4 Replies
558 Views
It is already sold out. No more comments
0 Reactions
4 Replies
690 Views
Habari wadau, inatafutwa Vitz Second Generation(Wenyewe huita New Model) Bajeti ni Mil 5. 1. Namba siyo ishu chombo iwe nzima. 2. Engine Capacity 1290 Cc 3. Rangi isiwe crazy colour. Hata kama...
3 Reactions
12 Replies
781 Views
Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio...
4 Reactions
21 Replies
863 Views
Maeneo ya around hizo sehemu ila ikipatikana karibu na barabarani inakuwa unyama. Please need help, Pia offer rental yangu ni 50 up to 60. If self contained then top top 70. 70 for only self...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
habari zenu wana-jamvi, tunatoa huduma ya ufungaji wa cctv camera,electric fence,gate motor na video door bell iwe nyumbani, shuleni, ofisni hata kwenye eneo lako la kazi. Kwasasa mteja...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Vitz kijicho Cc 990 Mafuta inanusa Full ac Hain kipengele gari imetunzwa sana Dada anatak mil 6.5 maongezi yapo 0783610244
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Anahama,anauza home theater 320,000 Meza ya jikoni 250,000(mpya) Location Usa river Arusha Njoo PM mteja.
0 Reactions
6 Replies
540 Views
Back
Top Bottom