Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wale wenye damping trak (tipa)zinahitajika.no 0783643896 NA 0653670730 tuna kazi mikoani na dsm.ofs yetu sinza madukan
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina 100000..nipo dar yeyote anaeweza fanya biashara na mm call this no.0755214711 or txt me
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jamii form, naombeni msaada wenu nataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ya cement, naombeni mtu mwenye ujuzi na biasharahii anipe mongozo na wapi ninaweza pata simenti kwa bei ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina shida na hela niPM nikuuzie S3 mini ila iclack kioo, kazi inapiga kama kawaida, kwa kifupi iko poa kabisa, tuwasiliane kama upo interest nipo mwanza
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI. Laptop hii imetumika na mimi mwenyewe; ina sifa hizi; Brand: Accer Model: 5740 Specifications : *2GB DDR Memory (expandable) *15.6 HD LED LCD *intel Core i3-370m *Processor 92.4ghz *3mb...
0 Reactions
3 Replies
890 Views
Simu tajwa hapo namba 830 kwa 300k au 730 kwa 250k,mwenye nayo.
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Wakuu nauza noah mpya kabisa na ina miezi sita tu toka inunuliwe,ni lile toleo la kwanza CC1998,bei ni milioni 12.Unaweza nicheki 0756061271.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibu kwa biashara ya uhakika.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
kama heading ilivyo, wapi naweza kupata net nzuri hizi za kisasa, kwa mfano kuna moja niliona mwaka juzi ya kushusha kwa kuvuta kamba. na je ni bei gani? Nimechoka hizi za kawaida. Nipo Arusha.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
kiwanja Dar es Salaam,kipo Salasala-Kinzudi.Kimebaki cha Ukubwa wa square mita 400 yaani 20x20, umeme upo na nguzo ya umeme iko jirani kabisa na kiwanja.Pamejengeka na nieneo linalokuwa kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Iwe ya mwaka 1999. Kuja leo. Nahtaji kwa haraka alonayo anicontact 0783700170
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In very good condition from UK bei 390000
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina majogoo kama 20 nayauza bei ni Kati ya 13,000- 15,000 kulingana na kuku mwenyewe. Kuku wapo Dar, nawauza ili kiwapunguza kwasababu majogoo yekua mengi katika Zizi langu . Ni wakienyeji safi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unlocked sony xperia J as new from UK, bei 350,000 ninazo 3 piece karibuni niko Dar namba yng 0713 404014 asanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Flash yenye ukubwa wa 512 gb aina ya swivel stainless steel inauzwa bei ni tsh 150,000 tu, for serious buyer just pm me or whatsapp 0713 234224
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Garage inauzwa iko Mbeya mjini maeneo ya Soweto ina magodown matatu(3) na flame za maduka 3 bei yake 100 million mawasiliano 0758844240/0653198121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wapo Dar, wanahitaji riwaya ya Njama ya Musiba, habari njema kwao ni kwamba riwaya hiyo inapatikana kwa wauza magazeti Mtaa wa Msimbazi karibu na jengo la klabu ya Simba.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Garage inauzwa Mbeya mjini maeneo ya Soweto garage hiyo ina magodown matatu na flame za maduka 3 bei yake 100 million contact 0758844240/0653198121
0 Reactions
0 Replies
995 Views
simu tajwa hapo juu nahitaji used iwe na khali nzuri na isiwe na tatizo bajet 250k.napatikana a-town
0 Reactions
3 Replies
835 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…