Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naamini mko salama, napenda kuwa taarifu kuwa naendelea kuuza vitu vya ndani kwa wakaazi wa Dar es salaamu, sababu ya kuuza ni kuhama mji kwenda kanda Geita ya ziwa baada ya kupata kazi huko...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
White in colour. 16Gb internal memory. Price 250,000/= Kwa maelezo piga 0783 132193.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji viwanja nauza viko viwili kila kimoja kina ukubwa wa sqm 630 vimepakana viko buyuni jirani na nyumba za PSPF kwa mawasiliano piga 0715504121
0 Reactions
2 Replies
1K Views
OS - Windows 7 Ultimate, 32-bit CPU - Intel Core i3 380M / 2.53 GHz Memory - 4GB Hard disk - 320GB Display - 15.6'' HD LED LCD, Intel HD Graphics Battery - 6-cell Li-ion...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Modem ya SafariCom inatumia line zote na ina speed nzuri sana sio kama modem za kibongo, inauzwa 25,000
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello JF memebers, Kama somo linavyojieleza hapo juu, naomba wazoefu/wajuzi wa magari wanijuze kuhusu aina hii ya gari. Navutiwa kuinunua kwa sababu napendezwa sana na muonekano wake na namna...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau mnaweza kunisaidia kupata battery ya hiyo simu apo juu (Vodacom smart kicka)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja 25 kwa 50 kimepimwa kina ofa karibu na shule ya nia njema sekondari, ni kizuri sana kwa kweli. Kinafaa kwa makazi hata biashara. Bei 12 mil, maongezi yapo. Piga 0714 440 141 / 0754 622 121.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nahitaj cm tajwa hapo juu ikiwa mpya nitafurah zaid badjet yangu 250,mwenye nayo.naomba attachment.za picha au tuwasiliane!
0 Reactions
0 Replies
848 Views
ninauza galaxy note I ina gb 16 ni mpya kabisa. Bei ni 500,000 mawasiliano 0763969066
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Apartment at former tcc sigara maina road tabata fir sale at 75ml .only serious buyer can contact me ABOUT ME! For More Information Please contact : •Call: +255782839988 •Whatsapp: +255782839988...
0 Reactions
2 Replies
783 Views
kwa yoyote anayeuza computer desk top yenye specification zifuazo Ram 2gb Prcesor kuanzia 2 HDD 200gb Monitor flat screen tuwasiliane hapa tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
878 Views
yeyote mwenye simu ya android kuanzia elfu 50 mpaka laki moja tunanunua.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu habarini za majukumu. Naomba kujuzwa bei ya gold(99.9%) kwa hapa mjini Dar ni Tsh ngapi kwa gram??
0 Reactions
0 Replies
4K Views
As per heading above is concerning,Natafuta hiyo laptop ya aina hiyo. Bajeti yangu ni 300,000/
0 Reactions
2 Replies
889 Views
ninauza mabox ya wino wa printer hp 54A yapo matano kwa 150000 kila moja na 50000 box moja la canon kwaajili ya photocopy machine. mwenye kuhitaji.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Blackberry Z10 inauzwa at 350,000. Contact me: 0652732363.
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Chumba kimoja Kinapangishwa kipo Changanyikeni elfu sitini 0718800909
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nipigie 0658478165
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Eneo lipo mbele ya madale mbele kidogo ya nyumbani kwa kawawa sehemu iitwayo mbopo, ni eneo la ekali 3 lina miembe na michungwa pamoja na majengo yaliyo jengwa kwa mahitaji ya hosteli ya wavulana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…