KIGAMBONI CITY GROUP
NA TANLANDS REAL ESTATE
WANAUZA ENEO LA KIWANJA CHA KUJENGA GHALA LA KUHIFADHIA MAFUTA (DEPOT)
VIJIBWENI - KIGAMBONI
[emoji3591]BEI NI DOLA
[emoji3591]MILIONI 2
ENEO HILO...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Baada ya kufanya tathimini ya muda na kuweza kuangalia thamani...
Habari za asubuhi wadau, nimeshikwa na shida nauza kiwanja changu kilichopo Mwanzo mgumu chanika.
Ukubwa hekari moja
Bei 2.5m maongezi yapo
Mawasiliano piga simu 0718658747
Viwanja vinauzwa mkundi sheli vina sifa zifuatazo:-
1: vimepimwa
2: umeme upo karibu
3: vipo karibu na hospitali ya wilaya
4: vipo karibu na huduma za maduka makubwa
5: vipo karibu na mashule...
Habari wandugu.Kama Tangazo linavojieleza tunauza viwanja vilivyopimwa kibaha Misugusugu.
Eneo Linafaa kwa biashara na makazi pia
Huduma ya shule, maji na umeme upo
Kwenda kuona ni Bure Kila siku...
Tunauza viwanja vilivyopimwa Vikindu kwa bei rahisi.
Eneo: Marogoro, ukubwa futi 60*60 bei 900000.
Eneo: Magodani ukubwa futi 60*60 bei 1300000
Usafiri tunatoa bure hadi kwenye viwanja kwenda...
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju kinondo
Mradi huu una huduma zote ikiwemo shule, maji na umeme. Pia hospitali ya wilaya
Kwenda kuona ni Bure Kila siku tupigie 0620175964
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Pangani
Vipo jirani na machinjio ya soko la Loliondo
Maji na umeme upo na kwenda kuona ni Bure Kila siku
Tupigie 0620175964
Habari wadau,
Kuna mama mmoja anauza eneo kibaha mnemela umbali kilometer saba kutoka hospital ya tumbi. Eneo nimeenda kuliangalia leo huko, maeneo ya kibaoni, mbele ya Boko Mnemela. Eneo ni...
WATAALAM WETU WAKIENDELEA NA ZOEZI LA UPIMAJI UKO KIGAMBONI
Bado Lengo Letu Ni Kuhakikisha Maeneo Ambayo Hayajafikiwa Na Huduma Ya Upimaji Tunayafikia.
Contact;
Call/WhattsApp 0713778937
Salam,
Kiwanja kimepimwa kinauzwa Lindi eneo la Mtanda.
Kina ukubwa wa 30 x 60 bei ni 5M.
Unapata view nzuri ya bahari ya Hindi na viunga vya mji wa Lindi.
Kipo karibu na nguzo ya umeme, pia...
Ndugu zangu habari, mimi nipo mbele yenu leo kuliuza shamba zuri la mikorosho lililopo wilaya ya Manyoni lenye ukubwa wa ekari 13.
Shamba hili lipo katika mradi mkubwa sana wa korosho hapa...
Changamkia hii fursa
kiwanja kinauzwa hakina dalali ni mtaa wa Rasta zuma kata ya terrati...jijini arusha.
Huduma za kijamii
.maji umeme vipo na usafiri wa daladala ni wa uhakika.
Mmiliki amehama...
Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja.
Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho.
Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha.
BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo(...
Plots nzuri kabisa Mbezi mwisho (1.5Km ) Kutoka KITUO kikuuu Cha mabasi Cha Magufuli (Magufuli bus Stand).
Karibu tujenge taifa pamoja.
Mawasiliano +255784355775 - Mr MBUNGI.
Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa.
UKUBWA
1. UREFU 28
2. UPANA 25
Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.