Wakuu,
Gari tajwa hapo juu inauzwa kwa Tsh 9,000,000 kila kitu inclusive. Gari inapatikana Dar- Mbezi Beach, ninayeuza ni mmiliki halali wa gari.
Picha za gari zimeambatanishwa. Napatikana...
Kiwanja kipo mkoani Mtwara Maeneo Ya Ziwani Mkabala Na Barabara Kuu Ya Kwenda Dar. Ukubwa Ni Ekali 1, Kinafaa Kwa Biashara Hata Makazi. Kwa Mawasiliano Zaid Piga Namba 0657180432
Kiwanja kipo Gezaulole kigamboni Dar es salaam. Kimepimwa na kina hati. Kina ukubwa wa sqm 3756. Kipo umbali wa mita 250 toka maji ya bahari na umbali wa 14km toka feri ya magogoni. Bei ni Tsh...
jaman naomben ushaur kma nlivoandka hapo juu, ninataka kununua haya mabas haswa tata so naomba kma kuna mtu anajua njia nzur za kuyaweka yafanye kaz ukiachana na dar hapa, asante kwa kila wazo.....
Habarin wana Jf, nauza gari tajwa hapo juu
Hiz ni bbaadhi details zake
Suzuk Escudo golwdin
Year of manufacture: 1995,
Engine type: td,V6
Engine capacity:1950cc
Five doors
Colour...
Habari, Tuwasiliane kupitia admin@tyonemedia.com au whatsapp +255754964692 . Kwa maitaji ya website, So deep in wordpress, Joomla, HTML, AJAX, PHP, JQERY and MYSQL +Graphics design , nicheki...
amplifier used .. kama upo interested tuwasiliane .. 0752039770.. 0682613317.. 0719934875.. kama unataka picha tuma msg 'amplifier' nitakutumia whatsapp
nipo dodoma mjini ninahitaji kupata chumba kwaajili ya biashara kwa wale watu wa dodoma naombeni mnisaidie kutafuta chumba hcho kiwe katikati ya mji yani naombeni msaada wenu wadau.
Nipo Dodoma mjini ninahitaji kupata chumba kwaajili ya biashara kwa wale watu wa Dodoma naombeni mnisaidie kutafuta chumba hicho kiwe katikati ya mji yani naombeni msaada wenu wadau.
Habari wana jamii natumaini mko poa. Kama nilivyosema hapo juu,mi ni mfanyabiashara huku niliko na nimedhamiria kuanzisha biashara ya kukamua miwa kwa juisi ila tatizo mashine. Hivyo naomba kama...
Our Buyer is looking for a 5ct-+ to as much as 25cts+ D-H
Our buyer is looking for a long term business relationship that would last for at least 24months on a monthly supply of a minimum of...