Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari. Nauza jiko ambalo nilikua nalitumia mimi mwenyewe la umeme. - Germany made, brand ya Ignis - Lina sehemu nne za kupikia (4 plates) - Linafanya kazi vizuri na halina shida yoyote -...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
wakuu, Inahitajika nyumba, vyumba viwili vya kulala (kimoja master), sebule na jiko pamoja na parking. Pia kinahitajika chumba self contained. Eneo ni Changanyikeni, nyuma ya chuo kikuu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
An industrial plot with 36405 Sqm located in Tanita Kibaha, Costal region facing Morogoro road. The plot is fully surrounded with a cement wall and a Dawasco connection. The plot is for sell by...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inauzwa: imetembea km 174,612.,1290cc,rangi nyeusi,tairi zote mpya,valid motor vehicle na Bima,automatic,usajiri Wa B,gari ipo ktk hali nzuri,haijawahi pata ajali,pm kwa maongezi,gari ipo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
ninauza suzuki escudo black ya milango mitano. Gari bado iko kwenye hali nzur kabisa na haina historia yoyote ya ajali. Matairi bado ni mapya kabisa na ina vibali vyote.Wala engine haijawahi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
petrol station mpya inauzwa iko njombe ina ukubwa wa sq.meter 3200 ina pump 5nia tenki 5 bei maelewano 0652766510 na zipo nyengine dar
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu hembu mnijuze maeneo bora kujenga kwa plan hii ya nyumba Ngorofa ya vyumba vinne with Home Office -Swimming pool -Tennis Court/ambayo itakuwa converted to Basket ball -Volleyball...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, tunatoa huduma ya kufunga Vehicle GPS Tracker kwa bei poa sana ambapo kupitia simu yako ya mkononi au Laptop yako unaweza kupata taarifa za gari yako popote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hp Pro Book 6360b, ina mwezi mmoja tu, battery charge 4 hours, GB 500, RAM 4GB 1, 333mhz ddr3, Processor 2.3Ghz Intel core i5-2410m, inch 13.3 inches screen. Price 600,000 negotiable. For serious...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nina desktop ya dell optiplex 620 natafuta body yake hii ni kulingana na power supply kupata shock
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza mitsubishi double cab pick up. Imetumika nchini miezi sita tu, Engine size 2.5 cc diesel, model 4D56 of 2002, Imported from UK, Manual transmission Full air condition All New Yokohama A/T...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Tecno H6 BEI 100,000/= 0717288306
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Simu ipo kweny hari nzuri. Ukiiweka kweny box tu inarudi dukani. only 450,000/=. Karibuni
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Jamani habari zenu wana jf, nilikua nafanya biashara ya mitumba ya kike ila sasa nataka kubadilisha biashara kutokana na eneo nililopo kwa sasa biashara ya mitumba aitoki, ni mitumba mizuri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cotton kutoka UK, elfu 30. Kwa maelezo piga 0783 132 193..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Vinauzwa viwanja vilivyo katika eneo moja vyenye ukubwa tofauti kwa bei rahisi sana kama ifuatavyo (1).Mita 48 Kwa Mita 31 urefu na upana wa mita 27 kinauzwa kwa Milioni 25 tu. (2).Mita 31 urefu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
husika na kichwa cha uzi hapo juu, sms 685216888
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau habarini za mda kama huu Nawaletea Samsung Galaxy s5 mpya kwa bei nzuri ya shilingi 830,000 tuu Kama uko tayar njoo PM tuongee
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Bado mpya kabisa, Picha zake ni hizi, kama umeielewa wasiliana na mimi, kwenye namba yangu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…