Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu,natafuta chimbo la spare za umeme wa magari kama vile taa,control box ,relays na vingine vinavyohusika na umeme wa magari liwe na bei nafuu ya jumla kwaajili ya kupeleka mikoani hasa...
1 Reactions
3 Replies
651 Views
Kimara hadi mbezi 50,000 Mwenye anafahamu naomba uni pm
1 Reactions
4 Replies
286 Views
nauza sabufa ni mpya kabisa bei ni Tsh130000/= napatikana kariako mtaa wa msimbazi b mkabala na jengo la simba mawasiliano 0655226738 au 0617243351
0 Reactions
3 Replies
351 Views
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi...
1 Reactions
1 Replies
497 Views
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Eneo lipo Mwasonga Kigamboni lina ukubwa wa heka 14 ila zinazouzwa ni heka 6 tu bei ni 6M kwa heka moja. Mawasiliano 0784427363.
1 Reactions
4 Replies
600 Views
Chagua hapo njoo inbox mapema tuu Wale WA dar nakuletea Hadi nyumbani kwako Karibuni sana
1 Reactions
2 Replies
515 Views
Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
150k chagua yyte call me 0718909429
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanaJf karibu ujipatie Simu za Samsung j7 prime kutoka china Kwa bei poa kabisa. -Bei ya jumla 130,000 -Bei ya lejaleja140,000 Napatikana Mwanza Pasiansi Mawasiliano namba 0672883431...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Nahitaji yai ya kisasa kutoka shambani nipo Dar.
0 Reactions
1 Replies
447 Views
Kuna jirani yangu anamiliki Toyota Hilux pick up single cabin 1998+ nazan, nmetokea kuipenda sana nna 10m isiyo na maelezo, kama Kuna mdau anayo tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
623 Views
ango wa Aluminum upo banana piga 0743257669 nauza elf 50
2 Reactions
21 Replies
1K Views
NILIKUJA NA UZI KUHUSU KUAGIZA TV WENGI WALINIPIGIA WAKITAKA UFAFANUZI SASA SOMA VIZURI MAELEZO HAYA CHINI SPECIAL BIG ODA TV SMART BRAND:SAMSUNG / LG /HISENSE 💫32@160000 💫43@300000 💫50@480000...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za muda huu ndugu zangu Naitwa elikana, ni kijana mwenye umri wa miaka 24 ninafanya kazi ya sanaa za simulizi kwa njia za sauti "Storyteller" pia nafanya "Voice over", "Dabin voice"...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Natafta friji ndogo kabida size ya mwisho used iwe katika hali nzuri, brand yeyote,mwenye nayo anichek,asante
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Gari inafika sebule, dinning, etc
1 Reactions
5 Replies
416 Views
Nyumba ya kisasa inauzwa kibaha maili moja........ Ina vyumba vitatu kimoja self Sitting,dining,kitchen & public toilet Gypsum na tiles vyumba vyote Bei mln 46 tu Document:Sales agreement 0675...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana Jf. Ninauza Payroll Software ambayo inaweza ku accommodate mpaka wafanyakazi 500. --It takes care about all earnings and deductions of employees. --It automatically calculates PAYE and...
1 Reactions
0 Replies
597 Views
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za kilo 3.5 mpaka kilo 4 Mtu yoyote anaweza ku afford Bei ni tsh 120,000 tu. Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…