Local disc 350 gb ,Window 7,
Processor 1.6,Ram 2gb, bei ni shilingi 350000
Pm kwa unayehitaji laptop ni kama mpya ipo kwnye hali nzuri na inakaa na chaji sana
rejea kichwa cha habari hpo juu dell inspiron yenye ukubwa wa gb 500 na ram 2 gb inauzwa kwa bei ya 420000 ina miezi sita toka inunuliwe ikiwa mpya kabsa dukani kwa hyo bado ina hali nzuri kwa...
Nahitaji kubadilishana na mtu simu ya iPhone nina iPhone 4s nahitaji 5s je kwa yeyote aliyonayo atahitaji nimuongezee na shilingi ngapi?nipo dar es salaam
Element 3D ndio plugin pekee duniani inayokuwezesha kuanimate, composite na kudesign real 3D stuff kv: 3D city/environment, 3D models na kufanya Live scene 3D integration ndani ya Adobe After...
Kuna bi mkubwa wangu anauza shamba lake Mkuranga Rubambawe. Ni eka moja kwa million 5.
Shamba liko one hour drive from Dar, five minutes walk from the road. Waweza kumpigia kwenye hii namba 0787...
NYUMBA INAUZWA , IPO DAR ES SALAAM, MAENEO YA SINZA , BARABARA YA SHEKILANGO, BLOCK B MITA SITINI TU KUTOKA BARABARANI, IPO KATIKA ENEO NZURI SANA LA BIASHARA NA INA UKUBWA WA SQUARE MITA 300...
Gd morning wapendwa!
Natafuta Noah old model,no.C au B yenye vigezo hivi,board iwe fresh(bila mikwaluzo)
..Vibali vya barabarani(Bima & m.Vehicle viwe hai),fire...
Gd morning wapendwa!
Natafuta Noah old model,no.C au B yenye vigezo hivi,board iwe fresh(bila mikwaluzo,kubonyea)
..Vibali vya barabarani(Bima & m.Vehicle viwe hai),fire...
WanaJF nauza gari aina ya Isuzu Bighorn-short Chasis model 1994,iko safi na inatembea bila matatizo. kama unahitaji au una uzoefu wa udalali plz tuwasiliane kupitia 0715670733