Maeneo Mbezi beach tangibovu kodi kwa mwezi ni 170,000/= ndani ya fence na gari inafika hadi hapo bila kusahau maji na umeme vipo. Maelezo zaidi 0715060183
Peugeot 504 pick up ya 1992 inauzwa,iko katika very good condition kuanzia engine,body everything is in perfect condition,inatembea,na haina tatizo lolote!bei ni 3'300'000/= contacts:0713670026
Pata dagaa waliokaangwa kwa hali ya usafi na ubora kutoka Mwanza dagaa wenye vichwa wanapatikana kwa wauzaji na majumbani pia baada ya muda mtaletewa dagaa waliokaangwa na kukaushwa kwa viungo...
Toyota Vitz inauzwa 3.5mln
Gari iko vizuri engen haIjawahi kuguswa
Ac inafanya kazi.
Picha inakata ku upload humu jf,kuziona lbda nkutumie via whatsap,
Gari liko dar, kwa mawasiliano zaidi...
Vigezo kwanza awe na.....
Umri-kuanziaa miaka 18-24
Elimu-kuanzia std 7 hadi form 4
Mkoa-Dar ~Ubungo salon
Dar ~kimara Kaz za ndani
Mshahara- Kazi za Ndani 50,000tsh
-...
Nyumba inauzwa kigambo mikadi beach .ipo kwenye hali zuri.ina master 2.living rooms2 .sitting room.dinning room.studing room .kitchen .public toilet.fence na get .kwa taarifa zaidi contact...
Kiwanja chenye ukubwa wa squaremiter 800 kinauzwa
kipo kigamboni karibu na Dege ECo Village
Bei ni Tshs 12,000,000/=
Ni unserveyed
Panafikika kwa gari
Tuwasiliane kwa na 0765413120
tunachora ramani aina zote yani za kawaida na ghorofa..
Michoro inakua imekamilika yani kunakuwa na set of architectural and technical drawing...
Gharama zetu ni nafuu sana...
Bei ni 35,000 TU Kuweka oda piga 0673856472
Size 41,42,43,44
Duka lipo. Sinza Makaburini njia ya kwenda Kanisa Katoliki.
Dar es salaam: Gharama ya kuletewa ulipo ni 3000.
Ujasiriamali kwanza.
Mfanyabiashara wa kuku au mtu yeyote anayehitaji kuku wa kienyeji naweza kumpatia, size utakayo wewe. Nipo Arusha. Kwa anahitaji aniPM au nipigie kwa simu namba;
0689531349