del inter core i3, black, Processor 1.4ghz, Ram 4.0GB, hdd 500GB, System type 64bit, Ports/drive(HDMI, DVD RW, 4usb ports, SD, breutooth, w/less) price laki 6. nipm tufanye busines
Wakuu nahitaji kiwanja Mwanza au Shinyanga au Nzega. Nakupa Toyota Gaia au Toyota Platz zote zikiwa na mwaka tangu ziingie Tanzania. Chagua gari kati ya hizo then kama kiwanja kipo vizuri...
Ndugu wanajamvi habari zenu?
Napenda kuwatangazia ofa hii ya simu aina ya iphone 4s ya lain moja ambayo ni original. Kwa atakayehitaji, wasiliana nami kwa namba 0713852625..
Asanteni.
Naitwa Yasini Yahya Rajabu
Nimepoteza cheti changu cha kuzaliwa,
Kwa yeyote alie kiona wasiliana nami kupitia email:yasinyahya6@gmail.com au
Kwa namba ya simu :+255718919637
Kimeandikwa...
Habari wanaJF,
Software tajwa hapo juu inakuwezesha kufanya yafuatayo;
1. Utunzaji wa kumbukumbu ya bidhaa ulizonazo,ulizouza pamoja na miamala yote uliyofanya
2. Utunzaji kumbukumbu kuhusu...
Habarini wana forum,
Ugunduzi wa gas na uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha cement kikubwa afrika mashariki na kati cha tajiri mkubwa Africa dangote genuine cement kimetoa fursa kubwa na ukuaji wa...
NEW BUILD 2 bed house with a terrace close to Beach. The property consists of Lounge, Kitchen/Diner, double bedrooms. The master bedroom comes with a giant walk-in closet the property is decorated...
Habari wanajanvi wenzangu,leo nakuja kwenu na mada tajwa apo juu,kuna hii promotion inayoendeshwa na airtel yatosha kwa upande wangu naona ni usanii mtupu,Kama mwezi ivi umepita kunawatu wilaya...