Viwanja vinauzwa (eka 2) wami dakawa (umbali wa kama 0.5km kutoka barabara kuu ya dar-mwanza) bei ni 450,000 (laki nne na nusu) kwa kila eka. Havina hati ila vinatambulika serikali ya kijiji.
Kwa...
Habari wadau wa Jamii Forum. Ningependa kufahamu duka linalouza materials yanayotumika kuandaa screen ya kuprint, material kama Mesh (Kitambaa wavu), Photo Imation, Sensitizer, Hadner na Rangi.
Gari aina ya Volkswagen touran 1.6FSI ya mwaka 2004 inauzwa. Ina km 120,000 cc1590 ni automatic inayotumia petrol. Ina milango 5 na siti 7 Iko kwenye hali nzuri ni namba c.
Wapendwa kwa yeyote anaye hitaji viwanja na mashamba ukanda wa bagamoyo tuwasiliane 0719 333 320 naingia kwenye mtandao marachache, hivyo maswali yatajibiwa kwa sms au piga simu.
ina eneo la square mita 1000 ina vyumba 3 kimoja ni master,sitting room,dining,kitchen,public toilet price 130 million kama upo serious nichek 0716385824
Rav4
Cc1998
Ya 2003
Manual
Engine 1az
Km 99027
Naomben radhi nimeshindwa kuweka picha ila kwa anae taka anichek kwa namba 0656436662 nitamtumia bei n 13m namba dc....asanten
nauza kiwanja mita 20x20 kipo madale kinondo mashariki hati miliki zote zipo na kiwanja kimepimwa kuna barabara na umeme umepita,mpaka saiz sijapata mteja alie na nia price 2 million napatikana...
ipo maeneo ya tabata chang'ombe ina eneo kubwa na imezungushiwa fensi na geti,ina vyumba 4 vya kulala kimoja ni master,public toilet ipo safi,sitting room,dinning,kitchen,store bei ni 120 million...
Habari za jioni wadau,
Kuna viwanja viwili vyenye ukuwa wa 70×35(m). viwanja hivi viko morogoro mjini maeneo ya mkundi cct forest.
Kwa anaehitaji ani PM
Asante