Tenki hilo
2000L
Bei 250,000
0744033555
Limetobolewa sehemu 3 kwa ajili ya kusambaza maji kwa nyumba za wapangaji.
hapo lilipo ni la kushusha tu na kuondoka nalo
Nguo kali za mitumba za kiume grade A, Cream kabisa.
Wanaume
1. Mashati ya ofisini
2. Mashati casual
3. Form 6
4. Jeans mkataba
5. Pensi
7. Flana
9. Cardet
10. Suaruali za vitambaa
Bei zetu ni...
Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea.
Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres).
Mahali: Chamazi, karibu na Azam...
Simu:
Nauza Inverter
Brand: Victron Energy
Model: Multiplus
Power: 2000VA
System Battery: 24 VDC
Both inverter and charger
Bei 1.5m Fixed
Growatt
Model SPF 3000 HVM
Power: 3000VA
System...
Tv showcase nzuri zinavutia zipo kimara mwisho naziuza kila moja tsh 130,000/=
Unaweza piga/whatsap 0719478826
Deliver nafanya pia ukihitaji✅
Karibu sana
Kampuni : SEAGATE
Size: 1 TB
Contacts: PM
Hard Disk nzuri haina shida aina yoyote,ukihitaji nikuwekee na movie aina zozote utakazotaka inawezekana pia (bei ya movie tutaongea).
Nikikupa HARD...
Chainsaw aina ya Newtop inauzwa
Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana...
Wakuu salama,
Nauza tyres4 mpya kabisa zina muda wa miezi 3 na rim zake mpya kabisaa. Tyres ni Goodyear ni imara sana. Ukitaka tyre peke yake nitakuuzia na rim pia. Tyre size ni 215/45/R17 na rim...
Wakuu nina mzigo wa fridges nzuri sana za boss hapa, nautoa nataka uishe chap sana ili nilete mzigo mwingine, hivyo basi nimeweka punguzo kubwa sana la bei.
Ukinunua kwetu unapata Usafiri bure...
Kibanda mkokoteni, maalumu kwa kuuzia nguo.
Kinauzwa, bei poa na ni tofauti na mikokoteni yote (karibu) +255755360768 location:- arusha
sifa za kibanda hiki;
Kwanza kabisa kibanda hiki hakipo...
Mara nyingi gari ikiibiwa masega,
1. Itawasha check engine
2. Inaweza kukosa nguvu.
3. Inaweza kumisfire(misi).
4. Itatumia mafuta vibaya sana.
Hizo ni baadhi tu ya dalili ambazo unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.