Wazee sina hiyana
Nashukuru kwa mirejesho n kukuwa kwa network. Siwez kuwaacha nyuma hata kidogo... Tuko pamoja
Raba hii hapo chini bei ya jumla ni elf 40 zinakaa pea 24, ukitaka kuanzia tano ni...
Kipindi nasoma Pharmacy hili somo lilinitesa sana hadi nilipata Sapu (Supplementary).
Kwa hasira nikanunua hard copy ya Kitabu chake "Pharmaceutical calculations by Ansel 13th Edition" kwa sh...
Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia.
Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe...
PC GAMES ZINAPATIKANA KUANZIA ZA ACTIONS, RACING, ADVENTURES, SIMULATIONS NA SPORTS. BEI YENTU NI NAFUU SANA KUANZIA 5K NA KUENDELEA 0710701361 🔥🔥🔥
TUNA GAMES KUBWA NA ZILE NDOGO KWA AJILI YA PC...
TIGO INTERNET UNLIMITED
Bundle hizi tutaakuungia kwenye simu yako ya mkononi au kama una device yako ya internet.
Tuma ujumbe Whatssap au piga simu
📞0765991551
Laptop Inauzwa
Ni SAMSUNG LAPTOP
RAM 4 GB
Processor 2.4GHz
HDD 360GB
Betri yake nzuri sana inakaa na chaji masaa 4
Bei ni 260,000
Location ni Dar es salaam, Mbezi mwisho.
Mawasiliano...
Utapata logo kwa ajili ya matumizi yako binafsi, taasisi, biashara, kampuni n.k. kwa Tsh. 30,000/= Tu ndani ya siku 1 hapa hapa jf ama ukipenda whatsapp: 0767 402964.
Logo utatumia kutengenezea...
CHRISTMAS SPECIAL🎁
Date: 25th, DEC 2024
The Horizon Beach 🏖️
Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za "The Horizon" ndani ya mji wa "Bagamoyo" ikiambatana na kusherehekea sikukuu...
WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES
APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM
PLOT SIZE 20X30M
CALL/WHATSAP +255624004650
VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
Kiwanja kipo Kiegeya (Mkundi) Morogoro
Kimepimwa na kina hati ( documents ) za malipo halali ya serikali na wizard ardhi
Kinafikika kwa hali zote
Ni kiwanja no 3775
Bei Tsh.2.5m
Njoo Mazungumzo yapo
Nina viwanja Chanika na Mbezi Beach Salasala. Kiwanja cha Mbezi beach kina thamani ya ml 30, na cha Chanika thamani ya 18m. Nataka gari aina ya rumion. Gari iwe imesimama. Nampa mtu kimoja kati ya...
Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo.
Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako.
Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo.
Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na...
Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond...