Bidhaa halisi za ngozi kutoka kiwanda cha WOP (Woiso Original Leather Products) kinachozalisha bidhaa hasa viatu vya ngozi, kimepigiwa kura ya kuwa wazalishaji wa viatu bora vya ngozi duniani...
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Mwenye nayo/kujua yalipo kwa sasa /yanako patikana tafadhali sogea PM tufanye biashara
NB: Nilipewa taarifa ya kwamba naweza...
Hondohondo builder tume kuja kumpunguzia gharama mjenzi kwa kumkodishia mbao za linta na mkanda wa nyumba kwa ghara nafuu badala ya kununua mbao moja kwa gharama kubwa sisi tuta kukodishia kwa bei...
Shamba la heka 20 linauzwa Njombe,kando kabisa ya barabara ya Songea.Lina miti ya mbao aina ya Pines yenye miaka minne.Bei ni sh Milioni moja kwa heka.Lipo eneo zuri na linafikika kwa urahisi...
Waungwana natumaini hamjambo!
Nimefanikiwa kwenye zoezi la Rosella wine na Jumapili tumeionja na marafiki zangu imekkuwa safi sana. Changamoto nilokutana nayo ni kukosa chombo cha kupimia alcohol...
Kwa yoyote anayemfahamu mwanafunzi Wa form 6 aliyemaliza mwaka huu kuna hii fursa ya Scholarship ya Mo dewji foundation. Nimejaribu kupitia kwa haraka nimeona utalipiwa ada na meals and...
salaam wakuu,
kwa wale wafanyabiashara wa simu ,bonny electronics tunawaletea bei za jumla ambazo hutazipata kokote kule hapa mjini,
simu tulizonazo ni
samsung s2@155,000
samsung s3@245,000...
1000watts
Smart
Full HD Up-scaling
Premium content
Wireless Audio Streaming via Bluetooth
USB Direct Recording & Playback
3D Playback
LG Apps
Wired(Ethernet)
External HDD Playback
PRICE...
BRAND NEW HOUSE, 3 BDRMS, 3 BATHROOMS, CLOSE TO MAIN ROAD- MOROGORO ROAD, SO VERY CLOSE TO MWENDO-KASI PUBLIC BUSES. RENT 500,000/MONTH (NEGOTIABLE) PAYABLE ONE YEAR IN ADVANCE. RELIABLE WATER...
Habari... Jamani nina viwanja na shamba maeneo ya mkuranga nauza kwa bei nafuu,, au kama kuna madalali wanaweza kunisaidia naitaji msaada wenu pia mawasiliano 0716927850
Kuna viwanja vinauzwa,vipo kuanzia ft 40 kwa 50,50 kwa 50,50 kwa 60,60 kwa 60,60 kwa 80,80 kwa 100,viwanja vinauzwa kwq bei nafuu sana kuanzia 1.5 na kuendelea,vinapatikana vikindu uzuri ni kwamba...
Nyumba ina uwanja wa sqm 1200. Ina vyumba vi 4 na kila chumba kina makabati mpaka jikoni nyumba ipo ndani ya uzio wa ukuta kama inavyoonekana kwenye ukuta. Nyumba ina hati. Bei yake 150m. For...
WEWE TU USHINDWE KUMILIKI SMART PHONE YA KIJANJA.
Tecno L8 mpya haijafunguliwa full box
battery =5050mAh(uwezo wa kukaa na charge 1 week bila kuwasha DATA na 3days DATA ON)
camera=8.0 to 2.0mp...
....Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada Square metres 1000 Fully documented yaani kina hati kamili... Ni kizuri sana. Bei million 25. Ni pm kwa maelezo zaidi
Imefahamika kuwa katika jamii yetu ya Tanzania wapo akina mama, dada, kaka na wengine ambao wamekuwa katika hali ngumu sana na kutokuwa na chochote ili kuanzisha biashara yoyote ndogo na ili...