Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza isuU journey mil 10. Nipgie 0625715751
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na pia ads na matangazo yoyote unayotaka ninaweza kukufanyia mpango.
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Wana - JF, Natafuta mchapaji wa mifuko ya mikate atakaye kubali kupokea order ndogo kwa wiki. Wachapaji wengi wanataka order kubwa sana ndio wafanye kazi. Mimi uwezo wangu ni mdogo, hivyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza huawei p8 pia mwenye kufanya exchange anakaribishwa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Capacity:64GB Model number (on the back cover): A1566 black front bezel 9.7-inch Retina display Silver housing Lightning connector FaceTime HD and iSight cameras Touch ID Bei 685000 Weweza sema...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Kuna mtu kanipa kazi ya kumtafutia IST. Auto au Manual kwake sawa tu. Budget yake haizidi milioni 5 Anyone? Nicheki PM
1 Reactions
4 Replies
883 Views
Wakuu hodi humu ndani..nauza kiwanja mbezi makabe ni kizuri tambarare ukubwa wake ni 20* 20 bei poa.. Samahani sina picha zake nilipoteza simu na picha zote lkn ni kizuri kama mtu anauhitaji wa...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
WADAU NAOMBA MWENYE NAYO TUWASILIANE.0753322359
0 Reactions
3 Replies
833 Views
Wadau Transcend External Hard Disk Drive StoreJet 500 GB MPYA nauza 130000 TZS, biashara nitafute kwa Private Message.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, nauza gari lipo katika hali nzuri sana na huwa safari zake ni nyumbani to kazini tu ni Toyota Mark 11 GX 110 2003 model 1988cc T 222 AKD Price 7. 5 mil Karibuni sana Cont 0717246284
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Simu S3 neo inauzwa. Bei lak 3.. Mahali nilipo Mbeya.Ina miezi 8 tangu inunuliwe.Ipo katika hali nzuri. Kwa mawasiano 0714233936
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Samsung s7 edge Storage 32 Goes with faster charging Serious buyer check me 0765024294
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ipo kwenye hari nzuri,na haina tatitizo lolote Tangu nianze kuitumia ina wiki mbili tu bei ni sh 65000 Nipo dar namba 0656899091
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Ina 32Gb, haina tatizo lolote. Wasiliana: 0675107182
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Nilikuwa naomba kama mninavijua mninisiadie contacts zao au hata physical address. Asanteni!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu... Nahitaji shamba au hata kama mtu anakiwanja kwa kiasi kisichozidi 1MIL... Shamba liwepo maeneo ya DSM,au pwani
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnisaidie nina Samsung Galaxy s4 ilipasuka kioo nikapeleka kwa fundi nikabadilsha kioo na display tatzo limekuja simu haisomi imei number sijui nifanyaje
0 Reactions
5 Replies
804 Views
Hiiii guyz nahitaji kiwanja cha kununua cash maeneo ya chanika kiwe tambarare ukubwa wa 40*40
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Je,ungependa kutumia virutubisho asilia una vidonda vya tumbo, ungependa kuongeza cd4 kwa kutumia bidhaa asilia kabisaa na zilizothibitishwa kimataifa wtsp/call 0715 336718 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Bidhaa halisi za ngozi kutoka kiwanda cha WOP (Woiso Original Leather Products) kinachozalisha bidhaa hasa viatu vya ngozi, kimepigiwa kura ya kuwa wazalishaji wa viatu bora vya ngozi duniani...
3 Reactions
19 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…