SPECIFICATION
Model : Dell Latitude 5300
Processor: Core i5
Ram : 8 GB
SSD : 500 GB
Size : Inch 14
Generation : 8
Window : 11
Screen: Normal and Touch screen
Bei : 500,000/=
Computer ni used ila...
Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine...
Habarini wote.
Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa.
Naitaji miwani ya bei nafuu...
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi.
Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro.
Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha...
Wakuu,
Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9.
Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable...
EMAUS LOGISTICS (T) LTD
We do all Dar es salaam port and airport clearance of goods and vehicles on time, without additional costs. In need of our service please call us or whatsap on...
Kwa Wanachuo waliochaguliwa na wanaosoma TIA,Diplomasia,IFM na Mwalimu Nyerere vyumba vyakupangisha na hostels zinapatikana
📍 Kwa Aziz Alli
-Single Rooms Kwanzia 50,000 - 80,000
-Master Room...
Habari
Tunaandaa documents mbalimbali kwa ajili ya wajasiriamali. Wajasiriamali wengi nchini wamekuwa wakitafuta huduma hizi kwa gharama nafuu ila wamekuwa wakifanyiwa kwa bei kubwa kutoka kwa...
Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma...
Habari wakuu
Kwa wanaopenda viti vizuri basi viti hivi vitakufaa Sana kwa ajili ya bustani yako au baraza yako.
Bei ya kuuzia ni Shilingi 120,000/-
Vipo Dar Es Salaam ila popote unaweza...
Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa
Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya...
Habari wakuu.
Kwa wale wahitaji WA mashine za kunolea na kukatia vyuma. Nauza benchi grinder hii kwa bei ya Shilingi 120,000/-
Ipo Dar Es Salaam ila popote inaweza kukufikia.
Karibuni
Habari wakuu.
Pasi ni nzuri Sana unaweza kutumia mvuke. kwa wale wanaopenda vitu vizuri vya nyumbani.
Bei ni 150,000/-
Zipo Dar Es Salaam ila popote unaweza kutumiwa zikakufikia.
Karibuni