Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba Inauzwa Bahari Beach, Dar es Salaam. Mahali: Br. Simba, Mtaa wa Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara ya ununio. *Ina Vyumba vitano vya kulala(vyote ni master). *Huduma...
1 Reactions
2 Replies
477 Views
Suzuki Carry New Model 4WD Reg: EAA Year: 2016 Engine: 650cc Mileage: 76,862km Gari bado jipya halina kipengele hata kimoja Gari linabodi tayari kama linavyoonekana kwenye picha Bei: 14.5M...
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Msaada tafadhali. Mwenye maiki nzuri (USB) ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie. Bajeti yangu ni 150,000 Asante na mbarikiwe sana.
1 Reactions
5 Replies
390 Views
Nauza mashine ya selcom bado mpya imeshaunganishwa na benki kadhaa kwa 200k Mawasiliano 0684228724 kwa mteja aliye serious
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Ney Ubuyu wa Kishua Unaanzaje kupitwa na kiburudisho hichi kizuri Ubuyu mzuri wenye ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili Jumla na Rejareja unapata Kisado 20,000 Ndoo ndogo 40,000 Ndoo kubwa...
3 Reactions
5 Replies
444 Views
Habari , napatikana Kisarawe Pwani , kama kichwa cha habari kinavojieleza , kwa aliekua na bunduki ya HALALI, tukutane inbox
0 Reactions
12 Replies
729 Views
Wakuu salama? Kuna nyumba nauza haijakamilika natafuta mteja. Nyumba na kiwanja vipo DSM kama kuna mteja serius karibu PM kwa taarifa zaidi. Eneo: mbezi makabe mpakani, kiwanja kina 45x45sqm...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana jamii forum Kuna watu wanauza mashamba morogoro eneo linaitwa bwanani karibu na bar inaitwa MV mapenzi.. Ukifika mkundi mwisho unaelekea mashariki. Je maeneo hayo ni salama kwa kununua. Au...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania Kutengeneza kipato endelevu kwa kuwakodishia mashamba kwa wakulima ni fursa nzuri ya biashara kwa wale...
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Kuna mashamba yanakodishwa Sumbawanga vijijini yanafaa kwa kilimo hasa cha mahindi. Mvua ni za uhakika . Matayarisho ndio yanaanza sasahivi mwezi wa kumi. Garama ni laki moja kwa ekari moja...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana JF habari za Jumapili , ikiwa una tatizo la mapengo unaweza tabasamu upya kwa kuwekewa meno bandia ya kudumu kwa gharama rafiki Tazama jinsi mama wa miaka 67 alivyotabasamu kwa mara ya...
3 Reactions
13 Replies
912 Views
Bei zetu kwa upande wa brand ya CENTARA . 1 - 315/80 R 22.5 - Tyre la mbele Price =465,000/= (highway) - Mixer (Trailer) Price =460,000/= Diff (kashata kubwa) price =510,000/= Diff kashata...
2 Reactions
4 Replies
648 Views
Habari wakuu. Eneo Kwajili ya Gas linauzwa GOBA Hapo unaweza kufungua kituo cha Kuuza Gas. Ewe mwekezaji fumba macho ununue hili Eneo. Sqm 2000. Kwa mawasiliano Zaidi 0754693556
2 Reactions
4 Replies
478 Views
Katika kitabu hicho, waandishi wamejikita kujibu swali linaoulizwa mara kwa mara la Israeli inatuhusu nini sisi Wakristo? Kuna ulazima gani wa sisi kujifunza na kuifuatilia Israeli? Na je, Israeli...
0 Reactions
14 Replies
958 Views
PANORAMIC SUNROOF ELECTRIC SEATS CC2990 ⛽️DIESEL PUSHTOSTART KEYLESS ENTRY LEATHER SEATS WHITE AUTOMATIC BLACK COLOR RIMSPORT FOG LIGHTS PRICE: 145,000,000 + REGISTRATION.
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Kama unauza au unajua mtu anauza Microfinance yenye vibali vyote tafadhali wasiliana nasi kupitia 0765042935
3 Reactions
9 Replies
729 Views
Wadau ninataka kununua TAA za kushika mkononi za SOLAR kwa ajili ya dharura pindi umeme unapokatika. Naomba ushauri ninunue AINA GANI maan nyingi ni Vimeo. Nahitaji itakayowaka muda mrefu ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Nyumba yenye ukubwa wa almost sqm 300 inauzwa Kimara Matosa: LOCATION: KIMARA KWA KOMBA KAMA UNAENDA MATOSA 4 BEDROOMS HOUSE 3 BATHROOMS 1 SITTING ROOM 1 DINNING AREA KITCHEN STORE PARKING...
1 Reactions
6 Replies
828 Views
Habari za wakati huu wakuu, Napenda kuwataarifu kuwa wafugaji wa samaki aina ya Tilapia pamoja na wafugaji wa nguruwe tuna vyakula hivi dukani kwetu. Chakula Cha samaki vipo kwenye makundi...
2 Reactions
2 Replies
589 Views
Drywall ndio habari ya dunia kwa sasa hasa katika kuta za ndani. Drywall sio mbao ni madini ya gypsum yaliyofungwa ndani ya karatasi nzito. Drywall ina faida zifuatazo: - Ina unafuu wa bei. -...
6 Reactions
103 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…