Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tecno n8 ipo kwenye hali nzuri ,haina crack. Bei yake ni Tsh 150,000/= 0678542435
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni zile nguo za watoto zinapatikana kwa bei poa kabisa ni jumla na rejareja kwa mawasiliano zaidi simu no 0652971495
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari wakuu. Natafuta master room nzuri, iwe umbali wa kutembea kwa mguu(chini ya kilometa moja) toka kwenye kivuko. Namba:0713-039875
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Smart watch ya nguvu kwa bei rahisi...[emoji4]
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari, Natafuta shamba la kununua maeneo ya kibaha (eka tano), sifa la shamba; 1. Liwe mbali na makazi ya watu (isiwe too much) kwakuwa nataka kufugia nguruwe 2. Liwe jirani na maji...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
[emoji121] MIKONO JUU MWENDO WA MATEKA, MIKONO JUU!!! [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari naomba msaada wa kupata namba ya chuo cha veta Dodoma Natanguliza ahsante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heka 15 zinauzwa Kigamboni Mkamba mbele ya Mwasonga. Bei sh. 4,000,000/= kwa heka na mazungumzo yapo. Eneo liko tambarare halijai maji, mchanga wa ujenzi upo kwenye eneo na huduma za kijamii...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Habari wandugu Onana nasi kwa huduma zifuatazo: kwa habari ya mahitaji yako ya KUCHAPISHIWA: Calendar, Diaries, Tshirt(Embroiders. Computarize, Screen printing) Mugs, Stickers, Posters...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Nauza tecno c8,ipo kwenye condition nzuri imetumika wiki mbili tu.. Bei ni laki mbili na ishirini...220000tsh Nipo dar es salaam (kimara) 0764319884
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Make : Toyota Model : Altezza Mileage : 91,729km Engine size: 2,000cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual M/Year : 2002 Doors : 4 Seats : 5...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Hii Inapangishwa iko kigamboni, kisota [emoji117]3 Rooms (2Masters) [emoji117] public Toilet [emoji117]sitting Room [emoji117]Dining Room [emoji117]kitchen [emoji117]Garden...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mtungi wa jiko la gesi mdogo kwa bei nafuu. Kama unalo, Tafadhali nipm. Nipo Mbagala.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf Mimi naishi Moshi mkoa wa kilimamjaro nahitaji chumba kimoja chenye choo ndani ila kisiwe uswahilini kiwe maeneo ya karibu na chuo cha ushirika
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Salaam alaykum wana jukwaa.. natafuta muuzaji wa lotion za bath and wash na body splashes zake pamoja na splashes za victoria secret kwa bei ya jumla.. kama yupo ani pm plz.. shukran
1 Reactions
0 Replies
759 Views
Bid now Get it by your own price.....free shipping worldwide Look at this on eBay Geometric Caged Ring | eBay
1 Reactions
4 Replies
890 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…