Monitor nzuri kabisa..ni wide screen inapatikana Ubungo Dar es salaam..kwa uliye Dar es salaam nakuletea ulipo..
Mawasiliano ni 0658 02 03 61 au 0753 12 14 04..
Hp 8440p used . Ipo Dar - Tabata . Battery inakaa na chaji zaidi ya saa 1 . Michubuko midogo midogo kwa mbali ipo . Njoo DM tuyajenge uje ukague mashine ujibebee
Sent from my iPhone using...
Wakubwa nauza hii mashine yangu hapa, ni Microsoft Surface Pro 3, imetumika kwa miezi mitatu tu.
Asking price ni 650,000/= Tshs ( negotiable)
Location: Nyerere Bridge, kigamboni. Dar es salaam...
Ninauza laptop yangu aina ya DELL (kama ilivyo pichani)
Local Disk: 74GB
Hard Disk: 390GB
RAM: 4GB
CORE i5
Ipo katika hali nzuri, na inafanya kazi vyema sana..
Bei: Tshs 350k
Mawasailiano...
Habari waungwana..!
Nauza Laptop zilizotumika, bei kuanzia 150,000/= na kuandelea..
Pia tunatengeneza Laptop na Desktop (Computer Maintenance)
Hard Disk, Ram vinapatikana pia.
Niko kariakoo...
Nauza dell Pc kwa bei poa sana njoo na laki 3 (300,000)
Uchukue mzigo used ila ipo vizuri.
Dell latitude E6400
Core 2 Duo
Harddisc 500
Nicheki kwa whatsapp no
0678694962 Nipo Dsm.
Nauza laptop hp probook core i3 @2.40GHZ 2.40 GHZ ram ni 4GB haddisk ni Gb 250 BEI NI LAKI NNE BETRY MASAA MAWALILaptop ipo kwenye hali nzur sana
Mawasiliano
0719590756
Hp Complete Desktop Co i3
Ram 4Gb
Hdd 500Gb
Processor Co i3 3.2ghz 64-bit
Dell monitor 17 inch
Keyboard,mouse,VGA na Power cables
Very good Condition
Bei = 320000 tuu
Call 0688115546
Location...
acer ASPRIRE one used lakini haina tatizo lolote na haijawahi mwona fundi na ipo kwenye good condition
RAM 2GB
Processor AMD C- 50
Battery 3hrs - 5hrs
Portable
Bei ni 300k fixed
Location; MWANZA...
IMESHAUZWA
AHSANTENI KWA USHIRIKIANO WENU
SIFA ZA COMPUTER INAYOUZWA
RAM: 4GB
HDD: 232GB
Processor: Duo core 2.67Ghz
Monitor: 19 inch wide
Windows 10 pro
Ipo Complete,
Bei ni Tsh 260,000/=...
Laptop aina ya HP ya dukani inauzwa
Used for 6 months
Harddisk 500GB
RAM 4GB
Processor speed 3.55 Ghz
Battery 4 hrs
Bei 450k maongezi yapo
Napatikana Morogoro Msamvu popote inaweza kutumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.